Wakifanya mema wakasifiwa wanafurahi, ila wakiboronga wakakosolewa na kuambiwa ukweli inakuwa nongwa“Tutaendelea kuisema Serikali ya CCM pamoja na Serikali zitakazofuata baadaye!” amesema.
Maaskofu wa Katoliki huwezi kuwakuta wanajibizana na vilaza. Siku zote huwa wanawapuuza tu.Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake.
Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa analolijua, Mwamakula amehoji ni Kanisa gani analolijua kiasi cha kuwaelekeza maaskofu wajibu wao.
“Walio karibu na Makonda wamueleze kuwa sisi maaskofu tunaujua wajibu wetu na hatuhitaji kufundishwa na yeye!”.
Amesisitiza kuwa Kanisa litaendelea kutoa maoni kuhusu Serikali na masuala ya nchi, akisema kuwa viongozi wa Serikali wana vyombo vya dola huku viongozi wa Kanisa wakiwa na Biblia.
“Tutaendelea kuisema Serikali ya CCM pamoja na Serikali zitakazofuata baadaye!” amesema.
Enzi hizo hakukuwepo maovu mengi kama uchawa, ufisadi wa kutisha, uporaji na ugawaji wa raslimali za umma kwa wageni, utekaji, ufiraji, mauaji..Walikuwa wapi wakati wa nyerere na udikteta wake uchwara
Walikuwa wapi wakati wa nyerere na udikteta wake uchwara
Kanisa la Moravian la Uamsho/UvuvioMaaskofu wa Katoliki huwezi kuwakuta wanajibizana na vilaza. Siku zote huwa wanawapuuza tu.
hivi huyu ndio yule askofu wa chadema church of movements ee?🐒Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake.
Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa analolijua, Mwamakula amehoji ni Kanisa gani analolijua kiasi cha kuwaelekeza maaskofu wajibu wao.
“Walio karibu na Makonda wamueleze kuwa sisi maaskofu tunaujua wajibu wetu na hatuhitaji kufundishwa na yeye!”.
Amesisitiza kuwa Kanisa litaendelea kutoa maoni kuhusu Serikali na masuala ya nchi, akisema kuwa viongozi wa Serikali wana vyombo vya dola huku viongozi wa Kanisa wakiwa na Biblia.
“Tutaendelea kuisema Serikali ya CCM pamoja na Serikali zitakazofuata baadaye!” amesema.
Kanisa lihubiri injili,maadili yameshuka,migongo iko hatarini,ukahaba umekithiri,mavazi kwa wanawake ovyoAskofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake.
Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa analolijua, Mwamakula amehoji ni Kanisa gani analolijua kiasi cha kuwaelekeza maaskofu wajibu wao.
“Walio karibu na Makonda wamueleze kuwa sisi maaskofu tunaujua wajibu wetu na hatuhitaji kufundishwa na yeye!”.
Amesisitiza kuwa Kanisa litaendelea kutoa maoni kuhusu Serikali na masuala ya nchi, akisema kuwa viongozi wa Serikali wana vyombo vya dola huku viongozi wa Kanisa wakiwa na Biblia.
“Tutaendelea kuisema Serikali ya CCM pamoja na Serikali zitakazofuata baadaye!” amesema.
Fundikira,kasanga tumbo,kasela bantu,jumbe,titi Mohammed, Hassan bin amir, Ludovic mwijage nkWewe lazima ni kichaa!! Ni udikteta gani alikuwa nao Nyerere? Kipimo cha kwanza kikubwa cha udikteta ni kuwaua wanaokukosoa. Nyerere alimwua nani kwa sababu amemkosoa au alimbambikia kesi nani kwa sababu amemkosoa, au alimteka nani? Dikteta halisi mwenye sifa zote, tunaye safari hii.
Wao wenyewe vilaza tuMaaskofu wa Katoliki huwezi kuwakuta wanajibizana na vilaza. Siku zote huwa wanawapuuza tu.
Shukuru udikteta wa Nyerere uliwasaidia waislam wapate elimu dunia inayokufanya uje utukane wakristo leo.Walikuwa wapi wakati wa nyerere na udikteta wake uchwara
Shehe Mwaipopo wa ile dini ya Al shabab yeye aendelee kuhubiri injili ya kukata watu vichwa.Kanisa lihubiri injili,maadili yameshuka,migongo iko hatarini,ukahaba umekithiri,mavazi kwa wanawake ovyo
Wao kutwa wanachosikika kwa jamii ni siasa tu
Kanisa lihubiri injili,maadili yameshuka,migongo iko hatarini,ukahaba umekithiri,mavazi kwa wanawake ovyo
Wao kutwa wanachosikika kwa jamii ni siasa tu
Mbulula wewe kipindi hicho ulikuwa bado kwenye korodani za mdingi wakoWewe lazima ni kichaa!! Ni udikteta gani alikuwa nao Nyerere? Kipimo cha kwanza kikubwa cha udikteta ni kuwaua wanaokukosoa. Nyerere alimwua nani kwa sababu amemkosoa au alimbambikia kesi nani kwa sababu amemkosoa, au alimteka nani? Dikteta halisi mwenye sifa zote, tunaye safari hii.