Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba


Sio mtoto wa kawaida huyo.
 
huyo amekubuhu sasa linatokea lijitu linajiita liaskofu feki kuja kutetea majitu yaliyoshindikana hajawahi kupingwa ngeta huyu anayejifanya askofu haiwezekani anaoishi nao wasimfuatilie kashindikana huyo
 
Pepo mchafu wewe.
Wenzako tuko serious wewe unaleta ushoga wako hapa.
Hoja ni kosa la kuchuma limao kukaa sell?
Hoja ni kwamba, ni sahihi mtoto kukaa mahabusu pamoja na wazee?

Wewe pimbi, huyo mtoto sio wa kawaida.
 
huyo
Kabisa mkuu. Na itakuwa imetumika busara kumuweka mahabusu ili kumnusuru na kifo. Mtaani wameshamchoka huyo.
wangemuua kabisa haiwezekani wamshambulie wanakijiji kwasababu ya limao kuna mengi kafanya huyo
 
Halafu majizi ya mali za umma,majambazi, muuaji na wabakaji kama akina Sabaya utasikia wanaachiwa huru kisa ni CCM na mtoto anafungwa, haya yataisha tu very soon,shame!
 
Una hakika kwamba ni kweli aliiba limao tu? Acheni kutoa bila kusikiliza upande wa pili.
Iwe hata kama aliiba dhahabu au almasi au hata kama aliua...

Mtoto wa umri huo huwa hapaswi kuwekwa rumande ya watu wazima, pia mtu yoyote anayewekwa rumande ni lazima ndugu zake wapewe taarifa, imeelezwa pia huyo mtoto ana maumivu kwenye mkono na sidhani kama kapatiwa matibabu...
 
Kuna zaidi ya alilolisema Askofu katika story ya huyu mtoto.Police hata kama hawana busara kama inavyoaminika hawawezi kumweka mahabusu mtoto wa miaka 13 kwa kuiba limao tu.
 
Yetu masikio.....ukweli utajulikana, hakuna aja ya kunyooshea vidole.........
 
Una hakika kwamba ni kweli aliiba limao tu? Acheni kutoa bila kusikiliza upande wa pili.
Basi aliiba gari!!
Miaka 13 anawekwaje mahabusu ya watu wazima!!??
Ina maana hujaona hiyo hoja hapo!?? Samahani,kumbe nawe ni mmojawapo wa wale misukule mliotolewa ubongo!.
 
Una hakika kwamba ni kweli aliiba limao tu? Acheni kutoa bila kusikiliza upande wa pili.
OK, tuseme sio limao tu kaiba simu, nguo za ndani etc, je ni sahihi kuwekwa mahabusu ya Watu wazima? Je, ni sahihi kuwekwa mahabusu bila kupelekwa mahakamani. Nadhani uache kujitia ujuaji
 
Sababu ya mtoto kujihusisha na wizi, ni kuporomoka kwa maadili katika nyumba za ibada! MaAskofu wanakwepa kazi zao za kuwaongoza wakina Frank makanisani, wanakutana nao mhabusu!
Amewaacha kondoo amekimbilia tumbo lake (siasa), unategemea nini? Msilaumu polisi tu! Angalia chanzo cha kuporomoka maadili., na mtoto badala ya kwenda kuomba limao kwa bibi yule akaamua kumwibia! Mtoto wa Miaka 13 anajua kuwa ni vibaya kuiba.
 
HA
WA MAASKOFU FAKE NDIYO WANAA HARIBU MAAADILI BADALA YAKE WANAKUTANA SERO DA MKUU UMEFIKIRIA MBALI SANA NI KWELI TUPU WANGEWAFUNDISHA WAUMINI KUWA KUIBA DHAMBI ASINGEKAMATWA NA YEYE ASINGEENDA MAHABUSU KAMA ANGEFANYA KAZI YAKE TU SIYO SIASA
 
Wanajua tu kutoa kipigo
 
Mtoto huyo ni mdogo Sana,kosa zaidi ni kuchanganywa na watu wakubwa,kwani siku hizi wakuu wa vituo na wilaya hawakaguwi vyumba vya mahabusu? Watu wa haki za binadamu mko wapi.
 
Kwanini aibe afungwe tu utoto wake auhalalishi udokozi
 
Balaa, kwa kuwa Askofu ameyaongea kesho watamwachia. Polisi wawe wanatumia busala
Askofu alikosea, alitakiwa achukue maelezo ili angalau awasiliane na shule yake au na bibi yake, mimi nimekutana watu wa aina hiyo mara nyingi na niliwasaidia kwa kuwajulisha wahusika
 
This is sad, huyo mwanamke aliemfanyie hivyo mtoto wa mwenzie kisa limao Mungu atamlipa. Mtoto wa miaka kumi na tatu alipaswa amuweke chini amuonye na amuelekezenkwamba akitaka kitu aombe badala ya kuchukua vitu vya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…