Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

Very narrow approach.... Mungu na akuongezee ufahamu.
 
Watanzania tumekuwa sugu na hizi habari. Tito alipotoka aliandika mengi, kina Heche juzi wamekutana na mengine na wameyazungumza mpaka ya mtu aliyeachiwa polisi pamoja na kukutwa na mabinti wa shule nyumbani kwake. Sijui mpaka tufike kiwango gani tukubaliane tunahitaji reform ya polisi.
 
Polisi wale waiba mafuta kigamboni mpo kimya ila mwizi wa limao mnamsweka lupango.
 
Polisi wale waiba mafuta kigamboni mpo kimya ila mwizi wa limao mnamsweka lupango.
unajuwa ndugu hakuna binadamu mwenye huruma kama mwanamke huyo kijana kuna makubwa aliyofanya siyo kuiba limao huyomama siyo mwendawazimu akamfunge mtoto kwaajili ya limao na polisi wasingeweza kupokea kesiya namna hiyo lazima wangewasuruhisha waondoke kuna zaidi ya limao
 
Km unayajua mengine funguka, pia sheria mtoto hapaswi changamywa na mtu mzima gelezani. Iwe isiwe wamefanya kosa kumchanganya mahabusu na watu wazima.
Au wewe unaona sawa?
 
Km unayajua mengine funguka, pia sheria mtoto hapaswi changamywa na mtu mzima gelezani. Iwe isiwe wamefanya kosa kumchanganya mahabusu na watu wazima.
Au wewe unaona sawa?
NDUGU SIJUI LOLOTE LINGINE LA HUYO MTOTO ILA TU YALIKUWA MAWAZOYANGU KAMA NILIVYOSEMA WATU WOOOOOOTE KUANZIA HUYO MAMA MWENYE MLIMAU MPAKA POLISI WOTE KITUONI KUNA KIT ZAIDI YA LIMAU NDUGU LAZIMA UELEWE WOTE HAO SIYO WATU WAJINGA KAMA UNAVYOWEZA KUFIKIRI KUNA SABABU ILA HIYO SABABU USINIULIZE MIMINI MAWAZO YANGU
 
Hoja hapa ni umri wake, hayo mengine ni UCCM wako tu, mana CCM lazima wawatetee polisi kwani polisi ndo nguvu ya CCM kuwa madarakani dhidi ya vyama vingine.
Swali la kuhoji ukweli wa umri wake, ni kisingizio tu cha kuhalalisha maovu ya huyu anae iweka madarakani CCM
 
Unatetea uovu ili kubaki madarakani.
Madarakani haya!!!
 
Naagiza mtoto atendewe haki yake.

Kwa kosa la kuchuma limao hata mahabusu hatakiwi kukaa.

Aonywe kisha aachiwe huru.

Watazame pia ugumu wa maisha wa mtoto huyo.
Wakati mwingine unaweza kudandia ajenda kumbe haina ukweli unaozungumzwa. Huyo mtoto huenda akawa na jambo la ziada.

Ninachounga mkono ni kama kweli ndo umri wake, polisi hawajazingatia maadili ya kazi zao.
 
dah kwel polisi sio ndugu zetu! yaani hpo wanasubiri mpunga wa wazazi ili wamtoe..! wanajisahau sana hawa jamaa!
Kiburi chao wanakipata CCM na CCM inawalea ili wawatumie dhidi ya wapinzani. Hivyo sio rahisi hawa kuchukuliana hatua.
Tunao umia ni sisi wananchi.
 
Una hakika kwamba ni kweli aliiba limao tu? Acheni kutoa bila kusikiliza upande wa pili.
Angekuwa mwanao ungeuliza swali hili? Mtoto wa miaka 13? Hao waliompiga wamemuweka ndani kuogopa kesi na hakuna kingine,
 
Angekuwa mwanao ungeuliza swali hili? Mtoto wa miaka 13? Hao waliompiga wamemuweka ndani kuogopa kesi na hakuna kingine,
inamaana hata huo mtaa mzima unamatatizo basi haiwezekani wamvamie mtoto kama huyo na kuanza kumpiga karibia ya kuua kisa limao never huyo atakuwa anamatatizo makubwa mpa mtaa umemchoka
 
Tanzania tuna mchanganyiko wa dini, huyu mtoto anaweza kuwa wazazi wametofautiana dini baba kamwita jina lake na mama kamwita jina lake cheti cha kuzaliwa kina jina tofauti na lile analoitwa nyumbani si ajabu wengi wako hivyo
 
sasa hapo tatizo ni kwa nani mtoto nimwizi sasa huyu malaya mwamakula anatetea nini aache use wake wacha vyombo vya dola vifanye kazi yake huyo ni mwizikama wezio wengine tu acha apate alichok=u=wa ana kitafuta
Mwizi wa limao?
 
Upande wa pili wanaolalamikiwa hao waliompiga pamoja polisi wao wansemaje?,labda askofu angefatilia kwa kina uwenda kuna cha zaidi kilichojificha,sidhani mtoto kuiba Limao tu tena jirani anaweza kushushiwa kipigo na familia nyingine ya jirani.
 
Upande wa pili wanaolalamikiwa hao waliompiga pamoja polisi wao wansemaje?,labda askofu angefatilia kwa kina uwenda kuna cha zaidi kilichojificha,sidhani mtoto kuiba Limao tu tena jirani anaweza kushushiwa kipigo na familia nyingine ya jirani.
ndiyo maswali yakujiuliza mkuu limao? tu? halafu mpaka majirani waingilie kumpiga kama jambazi kweli? hapana huyu mwamakula dishi limeyumba anatudanganya kabisaametuletea stori isiyo na nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…