Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Sio kusifiwa tu mpaka kuna Makanisa yamemtunuku cheti cha kuifuta Corona nchini,ndio maana anaona aibu hata kuitamka tu,maana anaaibikaUmelewa nini, hizo lugha za kutokuwa na Corona kila siku jiwe anazisema, hadi kusifiwa kuwa ameondoa corona.