Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 12,001 Reaction score 27,175 Feb 20, 2021 #21 tindo said: Umelewa nini, hizo lugha za kutokuwa na Corona kila siku jiwe anazisema, hadi kusifiwa kuwa ameondoa corona. Click to expand... Sio kusifiwa tu mpaka kuna Makanisa yamemtunuku cheti cha kuifuta Corona nchini,ndio maana anaona aibu hata kuitamka tu,maana anaaibika
tindo said: Umelewa nini, hizo lugha za kutokuwa na Corona kila siku jiwe anazisema, hadi kusifiwa kuwa ameondoa corona. Click to expand... Sio kusifiwa tu mpaka kuna Makanisa yamemtunuku cheti cha kuifuta Corona nchini,ndio maana anaona aibu hata kuitamka tu,maana anaaibika
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Feb 20, 2021 #22 Farolito said: Sio kusifiwa tu mpaka kuna Makanisa yamemtunuku cheti cha kuifuta Corona nchini,ndio maana anaona aibu hata kuitamka tu,maana anaaibika Click to expand... Kabisa, anaona aibu kumeza matapishi yake.
Farolito said: Sio kusifiwa tu mpaka kuna Makanisa yamemtunuku cheti cha kuifuta Corona nchini,ndio maana anaona aibu hata kuitamka tu,maana anaaibika Click to expand... Kabisa, anaona aibu kumeza matapishi yake.