Askofu Mwamakula: Nani atamtangazia Ghofira/Msamaha wa Dhambi (absolution) Spika Ndugai?

Alishauriwa akae kimya .. Hakusikia na kama ni kuomba radhi angeenda direct kwa mhusika na bila PC
 
Na huko ndani fukuto ni kali sana
Yawezekana CDF alimpigia simu JOBO na kumwambia "mwana inakuwaje unamzengua bosi wangu?" Ikabidi JOBO astuke. Sasa JOBO akanyanyua Simu kwa Pengo kuomba ushauri. Pengo akamwambia "Mwanangu umekosea, kaungame".... ndio ikaibuka ungamo la dhambi. NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA
 
Pengo akamwambia "Mwanangu umekosea, kaungame".... ndio ikaibuka ungamo la dhambi. NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA[emoji23]
 
Jobo alidhani anapambana na mwanamke, kumbe anapambana na Amiri Jeshi Mkuu...
Nadhani atakuwa amepata picha kamili sasa.. Na sidhani kama atakaa apayuke tena!
 
Hapo sasa nani wakusamehe ndo mtihani na makosa aliyotenda ni kwa chama chake tu au na wengine
 
Hii sala ya 'nakuungamia Mungu Mwenyezi' huwa tunaisema mwanzoni tu mwa ibada kwa wakatoliki......tatizo kwa case ya ndugai hapakuwepo padri kuhitimisha hiyo sala.
 
Hapo sasa nani wakusamehe ndo mtihani na makosa aliyotenda ni kwa chama chake tu au na wengine
Msamaha wa Jobo una walakini mkubwa..
. Kamuomba Mungu msamaha .. Je alimkosea? Nini?
. Kawaomba watanzania msamaha.. Je ndio aliwakosea? Pengine hapo zamani na baadae lakini sio sasa...
Hii ngoma bado mbichi
 
kwa maelezo yako bwana jobo itabidi kutangaziwa kwake msamaha kuhusike na wananchi wa nchi ya wanyonge au Mungu muumba mbingu na dunia.

baada ya kukiri kosa ameomba msamaha kwa watanzania na Mungu ..hakuna mahali amemuomba msamaha raia wa JMT.hivyo basi nikiwa kama mwananchi nawakilisha watanzania wote kwa kumwambia hatujamsamehe kwa huo msamaha wake wa mchongo

unawezaje kuomba msamaha ikiwa hujakubali makosa uliyofanya. Job ameamua kumbeza mama haiwezekani ukatae kosa lako mwenyewe afu uombe msamaha tena.pia jamaa ni dhaifu kweli hivyo anaongoza wadhaifu wenzake pale centre ya nchi. Ameamua kuomba msamaha pamoja na kuelewa yuko sahihi.
 
Msamaha wa Jobo una walakini mkubwa..
. Kamuomba Mungu msamaha .. Je alimkosea? Nini?
. Kawaomba watanzania msamaha.. Je ndio aliwakosea? Pengine hapo zamani na baadae lakini sio sasa...
Hii ngoma bado mbichi
Kwa hiyo huu msamaha umeombwa kwa watanzania na kwa Mungu, siyo kwa chifu kama chifu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…