Askofu Mwamakula: Nani atamtangazia Ghofira/Msamaha wa Dhambi (absolution) Spika Ndugai?

Askofu Mwamakula: Nani atamtangazia Ghofira/Msamaha wa Dhambi (absolution) Spika Ndugai?

Halafu leo hii anatuomba msamaha wananchi. Huyu mzee ni mnafki na sio wa kumuamini kabisa.
Ni mchumia tumbo mkuhwa na hapo keshokeshokutwa ikitokea hiyo mikopo imeenda mrama atajisifu ku alisema .
Nimekosa mimi.. Nimekosa sana...[emoji23]
 
Mgogo ataendelea kuwa mgogo...sifa kuu ya mgogo ni kuomba omba

Akishindwa kuomba omba hela, basi ataomba omba hata msamaha...
We nyoko acha kukashifu kabila la wenzio
 
Back
Top Bottom