Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
Nimekosa mimi.. Nimekosa sana...[emoji23]Halafu leo hii anatuomba msamaha wananchi. Huyu mzee ni mnafki na sio wa kumuamini kabisa.
Ni mchumia tumbo mkuhwa na hapo keshokeshokutwa ikitokea hiyo mikopo imeenda mrama atajisifu ku alisema .