Askofu Mwamakula: Nani atamtangazia Ghofira/Msamaha wa Dhambi (absolution) Spika Ndugai?

Ingekua kenya huyu angeshatwangwa makonde
 
baada ya kukiri kosa ameomba msamaha kwa watanzania na Mungu ..hakuna mahali amemuomba msamaha raia wa JMT.hivyo basi nikiwa kama mwananchi nawakilisha watanzania wote kwa kumwambia hatujamsamehe kwa huo msamaha wake wa mchongo
 
Tanzania tunashuhudia Spika akiomba msamaha kuwa Spika.
 
baada ya kukiri kosa ameomba msamaha kwa watanzania na Mungu ..hakuna mahali amemuomba msamaha raia wa JMT.hivyo basi nikiwa kama mwananchi nawakilisha watanzania wote kwa kumwambia hatujamsamehe kwa huo msamaha wake wa mchongo
Ameomba msamaha kwa watanzania wote. Mimi kwa niaba ya michepuko yangu yote nasema tumemsamehe lakini hatutamsahau
 
naona unaenyoy demokrasia mkuu...

Ndugai ni spika wa Bunge, Baba wa watoto na familia, ana ndugu zake na jamaa wengine wako humuhumu..
Naye aache uhuni wakutembea na bakora kuchapa watia nia wenzake.
Ndio maana anadharaulika na wahuni hadi wanamtusi
 
NDUGAI AJIUZURU KABLA HAJAFUKUZWA!

Heshima iliyobaki kwa Spika Ndugai ni yeye kujiuziru kabla CCM haijamfukuza. Sisi Askofu tulipomshauri anyamaze, lakini yeye akaamua kuomba msamaha wa kinafiki! Alikolalia ndiko wenzake walikoamkia, wamegundua kuwa ule msamaha haukuwa wa dhati, Rais 'kambalasa' hadharani. Asipokuwa makini ataondolewa kama mpangaji mdaiwa sugu! Mashujaa siku husimamia misimamo yao na kamwe hawapigi magoti kuyakana wanayosimamia. Misimamo ya Samweli Sutta ilimfanya apoteze Uspika, lakini aliendelea kuheshimika. Walio karibu na Ndugai wampelekee ushauri huu wa Askofu Mwamakula haraka sana kama wanampenda!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…