Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hatuwezi wote kufanya kazi serikalini au shirika la maana. Kwa mfano humu JF kuna wakulima,manesi,mafundi nk. Yani unataka kila mtu afanye kazi serikalini au mashirika ya maana!!!!Raisi Samia kasema leo anataka matendo sio kelele za kwenye TV na Youtube. Huyu alifanya nini cha maana wakati wake zaidi ya kununua wagombea wa upinzani? Hiyo ndiyo sera za maendeleo? Mdomo tu hakuna cha kuonyesha. Hebu tujiulize kabla ya siasa Polepole amewahi kufanya kazi gani kwenye sekta binafsi au shirika lolote la maana? !!