Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hatuwezi wote kufanya kazi serikalini au shirika la maana. Kwa mfano humu JF kuna wakulima,manesi,mafundi nk. Yani unataka kila mtu afanye kazi serikalini au mashirika ya maana!!!!Raisi Samia kasema leo anataka matendo sio kelele za kwenye TV na Youtube. Huyu alifanya nini cha maana wakati wake zaidi ya kununua wagombea wa upinzani? Hiyo ndiyo sera za maendeleo? Mdomo tu hakuna cha kuonyesha. Hebu tujiulize kabla ya siasa Polepole amewahi kufanya kazi gani kwenye sekta binafsi au shirika lolote la maana? !!
Kwa mwenendo wake sijui ataponea wapi.Polepole ni baadhi ya watu kwenye genge la Magufuli waliofanikisha siasa chafu kupata kutokea hapa nchini. Yeye anaamini chini ya utawala Magufuli serikali haikuwa kikundi, kwakuwa yeye alikuwa kwenye mlo...
Exactly, alipokuwa kwenye madaraka alisahau kuwa Kuna Watanzania wenye shidaKwa polepole sio kwamba anaumia na wanachokutana nacho waTz bali ni njaa na tamaa ya kuwekwa mbali na mkate wa taifa
Njaa hurudisha akili...Nimefurahi kuona polepole akili zikimrudi
Watu kama polepole sio wakuwasapoti kabsa kwahiyo akili inamrudi baada ya kutolewa nnje ya system? Angeendelea na nafasi aliyonayo hapo awali angeyasema haya?Nimefurahi kuona polepole akili zikimrudi
Kweli kabisa.Kwa polepole sio kwamba anaumia na wanachokutana nacho waTz bali ni njaa na tamaa ya kuwekwa mbali na mkate wa taifa
Shenzi kabisa huyu slow slowTena huyo polepole mwambieni atulie tutamrarua hataamini Hawa ndio waliotumika kusema lisu kajipiga risasi mwenyewe pumbavu kabisa Malaya wa kisiasa wewe.
mimi pia, juzi nimesikia, kupitia watu maana mimi kwakweli siwezi kamwe kumsikiliza huyo jamaa, anasema wazungu hawajawahi kuleta dawa inayotibu vidonda vya tumbo, wala kisukari, wala pumu n.k. akimaanisha tusiamini dawa zao bali tuchukie haswaaa.Najaribu kufuatilia kile anachokiita chuo cha uongozi, naona anahitaji tiba ya akili
Acha watafunane wenyewe kwa wenyewe pole pole yupo nyuma ya sukuma gang, na b hangaya ni kama kashtuka vileWatu kama polepole sio wakuwasapoti kabsa kwahiyo kili inamrudi baada ya kutolewa nnje ya system? Angeendelea na nafasi aliyonayo hapo awali angeyasema haya?