Na hili ndio tatizo la Tanzania yetu. Ukitaka kupata mashabiki, ongea kile wanachopenda kusikia. Hata Bashite akiibuka leo na kujifanya anasapoti "Katiba Mpya," ataonekana shujaa...
Ila bana umenivunja mbavu kinouma. So akipewa huo mkate lugha atanena nyingineKwa polepole sio kwamba anaumia na wanachokutana nacho waTz bali ni njaa na tamaa ya kuwekwa mbali na mkate wa taifa
Hivi wewe ni mtu wa kuaminiwa na yeyote?Usimwamini mwanasiasa yoyote!
Kwani wewe unaaminiwa hapo Ufipa?Hivi wewe ni mtu wa kuaminiwa na yeyote?
Sioni tofauti yako na Popole, wote ni watu mnaoendeshwa na njaa tu, hakuna dira yoyote mnayoiamini na kuisimamia.
masuala ya namna hii ndio huonyesha wazi namna viongozi wanavyo tuchukulia wananchi kwa ujumla ni wazi vitu vingi vyauongo hutuambia ili kuturidhishatu ....labda kweli wakati anaongea alikuwa mzima ikiwa tu jambo lilokuwa linaendelea nyuma ya pazia linafananana kilichompata Aldo Moro aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia ama pia hakuwa anajua lolote vyovyote vile alipaswa kutoa ufafanuzi maana kisiasa hili suala halitamuacha salamaKama anaongea uongo kwanini wahusika ndani ya Serikali wasikanushe hadharani? Serikali hii imejaa waongo, wezi, mafisadi na wabadhirifu na kwa miaka mingi wamekuwa wakiongea uongo wa hali ya juu bila kujali athari ya uongo huo kwa nchi yetu. Angalia uongo kama huu wa Majaliwa ambao hadi hii leo hakuna aliyeukemea watu ndani ya hii Serikali wameamua kujifanya kama vile hawakuusikia. View attachment 1936490
Hivi mbunge bado anakuwa mbali na huu mkate!kuwekwa mbali na mkate wa taifa
Uliwahi kunikuta ufipa?Kwani wewe unaaminiwa hapo Ufipa?
Arudi CHADEMA alikokuwa....Nimefurahi kuona polepole akili zikimrudi
Ashapoteza kila kitumimi pia, juzi nimesikia, kupitia watu maana mimi kwakweli siwezi kamwe kumsikiliza huyo jamaa, anasema wazungu hawajawahi kuleta dawa inayotibu vidonda vya tumbo, wala kisukari, wala pumu n.k. akimaanisha tusiamini dawa zao bali tuchukie haswaaa...
Ni kweli mkuu!!!ila hata kama ungekuwa wewe lazima tu akili zipandiane, kwa maisha aliyokuwa ana kula, akiogopwa na wana ccm wabunge wote, enzi za jiwe!!alikuwa akiamini anaenda kuwa mtu mkubwa sana, ghafla tu anajikuta hapo alipo lazima akili zisikae sawa tu.PolePole amechangayikiwa na akpimwe akili haraka
Bado anayo VI-EIT, ikichukuliwa hiyo nakuapia ataokota hata makopo. Kweli watu wanajua kutanua...yaani katibu ruga ruga wa CCM anawapigia simu na kuwaweka kiti moto Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa vyombo vya dola, Wakuu wa Mikoa. jamani acha tu!Ashapoteza kila kitu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni kweli mkuu!!!ila hata kama ungekuwa wewe lazima tu akili zipandiane, kwa maisha aliyokuwa ana kula, akiogopwa na wana ccm wabunge wote, enzi za jiwe!!alikuwa akiamini anaenda kuwa mtu mkubwa sana, ghafla tu anajikuta hapo alipo lazima akili zisikae sawa tu.