Askofu Mwamakula: RC Makonda asome Wafalme 18:22 ambapo Eliya alisema Yeye ni Nabii tofauti na Makonda alivyohubiri

Askofu Mwamakula: RC Makonda asome Wafalme 18:22 ambapo Eliya alisema Yeye ni Nabii tofauti na Makonda alivyohubiri

JE,
Askofu hakuzungumza chochote kuhusu yule mnyang'anyi wa malori Arusha, ambae sasa hivi anajiita Nabii na anatani kua hata na nafasi kama yesu?🐒

actually,
Zaburi 23:1 inatosha zaidi
Paulo au Sauli naye alikuwa mnyang'anyi na muuaji, mwisho wa siku ndiye aliyechangia sana kuueneza Ukristo
 
Mwamposa, Makonda na Mwamakula wote ni matapeli. Hakuna mwenye afadhali.
 
Paulo au Sauli naye alikuwa myang'anyi na muuaji, mwisho wa siku ndiye aliyechangia sana kuueneza Ukristo
ndio nilitamani kujua, askofu hakuzungumzia hilo, au hajui?🐒
 
Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari
"Mdomo uliponza kichwa"
 
Back
Top Bottom