Paulo au Sauli naye alikuwa mnyang'anyi na muuaji, mwisho wa siku ndiye aliyechangia sana kuueneza UkristoJE,
Askofu hakuzungumza chochote kuhusu yule mnyang'anyi wa malori Arusha, ambae sasa hivi anajiita Nabii na anatani kua hata na nafasi kama yesu?π
actually,
Zaburi 23:1 inatosha zaidi
Mwamakula anajitambua sana, usimfananishe na hao makada wenzetu.Mwamposa, Makonda na Mwamakula wote ni matapeli. Hakuna mwenye afadhali.
Kwa sababu anasapoti CHADEMA ndo anajitambua? Mwamakula hana tofauti yoyote na Mdude. Wote ni wafuasi wa Mbowe.Mwamakula anajitambua sana, usimfananishe na hao makada wenzetu.
Kama ameweza kukosea kwenye hilo yapo mengi sana anafanya tofauti. Kifupi DAB ni laana na chukizo!Mimi namkubali sana Makonda ila kwa hili amekosea
Hao ni wachumia tumbo!Na hapa ndiyo nimethitisha kuwa Mwamposa naye ni Nabii wa Baali, angekuwa mtumishi wa Mungu angemsahihisha pale pale huyu muuaji.
ndio nilitamani kujua, askofu hakuzungumzia hilo, au hajui?πPaulo au Sauli naye alikuwa myang'anyi na muuaji, mwisho wa siku ndiye aliyechangia sana kuueneza Ukristo
"Mdomo uliponza kichwa"Huyu askofu njaa ambaye hana clip yoyote akihubiri kanisani. Hayo manguo ya uaskofu anakusanyaga mashuka minadani anashona, amekonda kama kawaka tayari
Kwa nini??Huyu ni askofu wa dhehebu la Chagadema