Askofu Mwamakula: Serikali iache kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi


Naunga mkono hoja, lakini:

Nashauri tupiganie wataalamu wa afya kukadhiwa kuongoza vita dhidi ya corona kwanza. Tutafute uwepo wetu hai kwanza.

Hili la corona lina umuhimu wa kipekee. Katiba mpya ni ya muhimu tu kama tuko hai.

Katiba mpya lifuate mara tu tutakapoamka tuna mustakabala mwema katika upiganiaji wa uhai wetu kwanza.
 
Nchi haina mifumo imara ya kiutawala. Matokeo ni maamuzi ya mtu yanakuwa ni sheria na hakuna wa kunyosha kidole.
 
Hakika hili la kunyang'anya mapato ya Halmashauri lililenga kukomoa Wapinzani .

Poor ccm !
Hakuna mapato yote yanayoenda kwa wapinzani, mapato yote ni mali ya umma. TRA wanaweza kukusanya kodi Dar es Salaam auTunduma ni hela hiyo. Wanaweza wakamtuma Meya wa Tunduma akakusanya kwa niaba yao au akak7sanya mwenyewe, hela ni hiyo hiyo inaendavkapu hilo hilo. Na kama ni hela za Halmashauri, kwa nini ulalamike wewe au chadeama si ingelalamika halmashauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…