Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wakati akizungumza katika kipindi cha Kurunzi kinachorushwa na DW, Askofu Mwamakula amehoji hatima ya Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitaka Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu alipo pamoja na hatua zinazochukuliwa dhidi yake.
"Kusudio langu ni kutaka wenye mamlaka waeleze Watanzania mheshimiwa Dr. Emmanuel Mchimbi yuko wapi kwa sababu Watanzania walitangaziwa kwamba amejiuzuru... toka kipindi hicho hajaonekana hadharani."
"Hakuna mahali popote ambapo hata familia yake haijasema jambo lolote inaonekana pia familia na yenyewe pia imekishwa inaogopa."
"Kwanza ile tamko lake lilitolewa katika kaunti yake ambayo iko Doman... kwenye mitandao ya kijamii ambayo haijatumika muda mwingi..."
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
"Baada ya kutolewa hiyo tamko kutoka hadharani wakatoka CCM na kumfukuza wanachama na kumtuma mambo mengi sana baadaye wakatoka viongozi wa CCM... wakaanza kumsema..."