Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Ndugu Kifo si Adhabu ni Mlango kila Mtu atapita kwa Wakati wake hata hivyo Mungu wetu ni mwema kwa wasioshukrani na wenye shukran wapo watakatifu waliokufa wakiwa na umri mdogo na wapo watenda zambi waliokufa wakiwa na umri mkubwa Mungu Hapangiwi
All in all kifo cha Jiwe ni ukombozi kwa nchi.
 
Unakubali hakuna prufu juu ya yale kayaandika Kabs

Damu eti nani alisafisha kawataja?
Vipimo vikienda vitakosa kitu kweli if kweli!!!!

Sasa uwaulize hao au? πŸ€—
Haya sijayafahamu kutoka kwa Kabendera wala Mwamakula, I knew this since when Mwendakuzimu was still alive. Yamesemwa na kuandikwa na watu wengi, gossips and rumors from all works of life were circulating since when Jiwe was still alive. Some were coming out from very credible sources. Painful truth for some though.
 
Umesahau watu wangetekwa, wange potea, wangefungwa kwa sababu za kisiasa kuliko ilivyo sasa.
 
Hadithi za kutunga?
Kupotea kwa Ben na Azory ni hadithi ya kutunga?
Polisi na viongozi wa serikali kuyakalia hayo kimya ni hadithi ya kutunga?
 
Mwaka huu naona mambo mengi yanawekwa uchi kila mtu na kete zake
 

Ya kusikia unarudi tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hujui timu za ndani zilikuwepo??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…