Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Huyu mzee sijawahi muelewa na huwa staki kumuelewa.
Hajawahi ongelea mazuri ya kiongozi yeyote yule awaye kama ametokana na CCM,
Bali ni kushambulia tu na kufedhehesha viongozi.
Ndo nmejua Leo kuwa ni CDM,mbona mazuri ya serikali kwa chama chake hasemi?.
Naomba aulizwe vpi kuhusu biashara za hao viongozi wake zile haramu,mbona haziongelei?
 
Acha roho mbaya haikusaidii
 
Tangu hizi habari zianze kusambaa hatujaona uthibitisho hata mmoja. Ni hearsays, speculations na personal opionions tu zinatawala. What a crap kutoka kwa a self-declared bishop.

Na bahati nzuri zinatoka kwa walewale vibaraka wa mabeberu. Hatushangai kama ambavyo hatushangai panya kumchukia paka.

It changes nothing especially kazi kubwa aliyolifanyia taifa hili Rais bora kabisa kuwahi kutokea.
Wewe ni mpumbavu kweli.ndio maana watu wenye akili zao walishakwambia hatujawahi kuwa na Rais wa ajabu kama Huyo,Mungu anaipenda TZ Ndio maana alimchukua mapema
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Kila kitu mnataka kuleta uchawa tu
 
Ukitaka kujua mtu muongo aliyekubuhu wana sifa moja za kufanana wawe maaskofu au yeyote utasikia marehemu aliniambia wakijua marehemu hawezi fufuka kujitetea au kusema muongo huyu Askofu

Askofu Mwamakula anaangukia kwenye hilo kundi la waongo wabobezi kwa nini hakusema hayo Magufuli akiwa hai?
Hakutaka yamkute yaliyomkuta Ben Saanane.
 
Gg4filSWEAAfFyS.jpeg
 
Hakuna mtumishi wa mambo ya kiroho halafu awe mwanasiasa . Hiyo ni hakuna. Kuwa mwanasiasa ni kuwa muongo muongp.
Kwa sasa aidha kambi Lisu au Mbowe. Unasimama wapi. Sioni cha maana
Ikiwa kwa CCM ni ruksa au sio?
Screenshot_20241129-140243.jpg
 
Asingethubutu kwani angewaua na ndiyo maana hawakuthubutu kuyasema wakati Jiwe akiwa hai.

Unajuaje wangeuwawa na nani na kwa lipi?

Hao wanaodai wangeuwawa ni nani wameona kwa macho na dunia ya sasa proof mbona hakuna hata kurekodiana na mtu.. Khaaaaa

Kataka kujipatia pesa na kitabu Chale basiiii
 
Ben Saanane alithubutu kusema kitu very simple, kutaka to proof ya PhD but where is he?
Jiwe alikuwa ni exterminator.
 
Unakubali hakuna prufu juu ya yale kayaandika Kabs

Damu eti nani alisafisha kawataja?
Vipimo vikienda vitakosa kitu kweli if kweli!!!!

Sasa uwaulize hao au? 🤗
 
Back
Top Bottom