Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Huyu mzee sijawahi muelewa na huwa staki kumuelewa.
Hajawahi ongelea mazuri ya kiongozi yeyote yule awaye kama ametokana na CCM,
Bali ni kushambulia tu na kufedhehesha viongozi.
Ndo nmejua Leo kuwa ni CDM,mbona mazuri ya serikali kwa chama chake hasemi?.
Naomba aulizwe vpi kuhusu biashara za hao viongozi wake zile haramu,mbona haziongelei?