Askofu Mwamakula: Sikutarajia yaliyoandikwa na Kabendera yangewekwa hadharani wakati wa uhai wangu

Huu ujumbe alipewa nani akampe nani
Pamenichanganya hapo
 
Mnafikiriaga wakati mnaandika? Waliosema akiwa hai uliwaamini? Yaliwapata yapi au ndio kujitetea kwa marehemu huko?

Huu ujinga ni Kwa mapenzi ya madaraja na reli tu au kuna mengine hatuambiani?
 
Kwa maneno mengine, Askofu anatuthibitishia kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Kabendera ni kweli kwani naye alipewa taarifa hizohizo ila hakuwahi kuzisema kokote.
Alisema kidogo kwenye kongamano la TLS la Amani, ukienda Kule Youtube aliwahi kutaja kuhusu kutishwa. Sijajua kama ni tukio hilo hilo au lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…