Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

Haifai jeshi hili kuendelea kuitwa jeshi la polisi. Jina lake libadilishwe, liitwe "Kikosi cha kupambana na chadema (KIKUCHA)"
Mpaka JWTZ itakuwa wanaogopa ku coorperate na chadema
 
Reactions: G4N
Good
 
Reactions: BAK
Acha uwongo wako, mtu mzima ovyoo sana wenzenu kina maria sarungi wana tengeneza michuzi hawa sura zimewapa ukaa jua!
msidanganyike
Eeeen Heeee Heeeee! Wacha nicheke!

Eti umeandika nini? Mbona unamatatizo makubwa ya kueleza unachotaka kukieleza watu wakuelewe!

Kwa hiyo unapomsoma Maria Sarungi unaelewa anachoandika, au ndio hivi kama ulivyoonyesha uwezo mdogo sana wa kuelewa nilichoandika mimi!

Kiufupi ni kwamba huna uwezo wa kuelewa chochote. Hata huyo Maria hujui anaeleza kitu gani katika maandishi yake.

Akina mama hao wa CHADEMA wameweka alama, wewe utabaki unashobokea tu usiyoyaelewa.
 
Ndiyo walikuwa wajogi na madela hayo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…