Askofu Mwamakula: Siyo Sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni, TBC Wajieleze na kuomba radhi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote

Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni


TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X

Ahsanteni sana
 
Si kuwa kalala, pozi lile akikaa anaonekana kama kasinzia ila alikuwa anaandika.
 
Mzee akapumzike kwa umri wake ni muda wa kupunguza majukumu na kazi za chama na kiserikali na kulea wajukuu wake BUNDA.

Ukizeeka unarudi UTOTO nacho ona mzee WASSIRA kwa Sasa akili imechoka ni muda Sasa amekua ana UNDERGO NEGATIVE RETARDATION
 
Hapo ndio wamejitahidi kabisa kutafuta angle ambayo kidogo ataonekana hajalala, anaonekana kama anaandika.

Wangetumia picha mjongeo, basi hakika ungeona udenda ukitoka huku ukisindikizwa na sauti maridhawa ya kukoroma.

Ni mzee wa miaka 80, mnatarajia nini zaidi ya yeye kulala, kutoa mashuzi na kusubiri malaika mtoa roho achukue amana yake.
 
Ukiona Kobe kainama anatunga sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…