Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
ni kweli atakuwa amesinzia tuHajalala wanamsingizia😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli atakuwa amesinzia tuHajalala wanamsingizia😅😅
Kaiandika vyemasana .nimechekaaKama ni kweli, huo ni zaidi ya unafki 😁😁
Ujumbe sio TBC kuomba radhi Ila mteuliwa kusinzia kikaoni..
muongo utakuwa weweHuyu mzee ni muongo na hapaswi kuwa Askofu.
Ndo mkao wa mzee popote anapoenda na kukaa.
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Sasa jitu lenyewe muda wote limelala cameraman atafanyaje, wacha liumbuke tu si halitaki kujiheshimu .
Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Hii ndiyo tabia yake kupiga usingizi kwenye vikao. Kwani hii ni mara ya kwanza?Askofu Mwamakula amesema mzee Wassira licha ya kuwa ni Makamu mwenyekiti wa CCM Lakini pia ni Kiongozi mstaafu wa serikali anayepaswa kuheshimiwa na Taasisi zote
Askofu Mwamakula amesema siyo sahihi TBC kurusha picha ya Mzee Wassira akiwa amesinzia kikaoni
TBC wanapaswa kujieleza na kuomba radhi, amesisitiza askofu Mwamakula Ukurasani X
Ahsanteni sana
Mzee Wassira hajasinzia, hapo alikuwa anaandika hiyo note book yake, picha iko wazi kabisa, kashika na kalamu, huyo Askofu wa Chadema aliyejipa uaskofu mwenyewe anaanza kuugua ugonjwa wa akili, anapenda sana attention, kila siku anamalizia anaandika Mwanakondoo ameshinda, sasa hiyo sentensi inahusika vipi na siasa..!!