Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

Uanmlinganisha huyu mvuta bangi mwamakula na pope. Pope amesoma huyu mwamakula unakula kwa utapeli tu
 
Acha kulinganisha watu na takataka kama hizi wewe
 
Ni MPUMBAVU tu ndiyo anayeweza kuandika UPUMBAVU kama huu. Eti Askofu Mwamakula ni takataka. Kumbuka kabla HUJAFA HUJAUMBWA.
Acha kulinganisha watu na takataka kama hizi wewe
 
Alikosoa chama gani? Papa anakemea watu wote wakiwamo wa chadema wanaoua watu na kuwatupa wakati wamewapigia simu.
Kwani huko chadema hakuna maovu mbona huyo mwamakula na bagonza hajawakemea na wale wakiokuwa wanataka mapemzi ya jinsia moja?
Au kwa vile na yeye alikuwa analala na katimba ndo maana alikaa kimya?
 
Na kwa akili yako FINYU Askofu Mwamakula hajasoma siyo? MPUUZI Mkubwa wewe! Acha KUROPOKA ROPOKA kuhusu mambo usiyoyajua. Pimbi wewe!
Uanmlinganisha huyu mvuta bangi mwamakula na pope. Pope amesoma huyu mwamakula unakula kwa utapeli tu
 
Staff​

Pastor Emmaus Bandekile Mwamakula is the General Director, based in Dar es Salaam. Emmaus holds a Bachelor (Hons.) Degree in Applied Theology and a Master of Arts degree in ‘Global Issues in Contemporary Missions’ from Redcliffe College in England. Note: From 4th October 2012 to 3rd October 2013 Emmaus expects to be on sabbatical leave in order to undertake further Christian Ministry studies. While Emmaus is on leave, Mrs Stella Mtui is Acting General Director. Stella has previous served on the SU Staff in children’s ministry and has served in the Standing Committe for 3 years. She holds a Certificate in Social Works and an Advanced Diploma in Social Works from the Institute of Social Welfare in Dar es Salaam and also has a Master’s Degree in Public Administration from Mzumbe University, Tanzania.

Uanmlinganisha huyu mvuta bangi mwamakula na pope. Pope amesoma huyu mwamakula unakula kwa utapeli tu
 
Na kwa akili yako FINYU Askofu Mwamakula hajasoma siyo? MPUUZI Mkubwa wewe! Acha KUROPOKA ROPOKA kuhusu mambo usiyoyajua. Pimbi wewe!
Amesoma ila hajaelimika mchochezi yule next time atashuglikiwa tu asione yupo kanisani akafikilia anaachwa afachua watu
 
Kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiyo anaweza kuandika huu UPUUZI kwamba anayekemea MAOVU ya nchi hii basi huyo ni mchochezi. Maovu yote tuyanyamazie ili tuitwe WAZALENDO. Ama kweli akili ni nywele....

Amesoma ila hajaelimika mchochezi yule next time atashuglikiwa tu asione yupo kanisani akafikilia anaachwa afachua watu
 
Bandekule vipi bado unajificha wapi sasa mchungaji leta na zile za askofu wa kanda ya ziwa
Kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiyo anaweza kuandika huu UPUUZI kwamba anayekemea MAOVU ya nchi hii basi huyo ni mchochezi. Maovu yote tuyanyamazie ili tuitwe WAZALENDO. Ama kweli akili ni nywele....
 
Naona umehamia kwa mwamakula na umemchoka Tototundu ambaye ulikuwa ni PA wake
 
Wakati ukimtaja babangu hukujua unachezea moto mpumbavu wewe badala ya kupambana na hoja unaleta wazazi humu kiazi wewe

johnthebaptist​

kwa huyu mzee yeye anashindana kwa hoja wala siyo matusi kama
 
Huyu in muasi, hakuna kanisa la Moravian la uamsho! Anapenda tu kiki huyu askofu, alikuwa anawaongoza kwa Sara wapumuliwa visogoni, hii ni laana!
 
Wakati ukimtaja babangu hukujua unachezea moto mpumbavu wewe badala ya kupambana na hoja unaleta wazazi humu kiazi wewe
Hawa akiri zao zimekuwa kam za kenge,
Wanashabikia vitu ambavyo hata havitimii kama wanavyotaka, lakini wapo tu kila siku na uninga kam wa mwamakula,
Badala ya kufundisha watu waacha ushetani huko kanisani kwake yeye anatafuta mambo ya siasa,
Ajitose kama gwajima tu ili awe huru kusema mambo ya siasa ya upande aliopo.
Sasa washabiki wamekuwa na mitusi kama watoto wasiokuwa na wazazi wa kuwakanya.
 
Anapenda kutukana anadhani kila mtu hana hekima na busara kama yeye
Kuwaza kwa kufikiri Fulani atapendezwa nahili au atachukizwa na lile Ni hangs kubwa Sana, Tumuombe Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema atuongoze na tumtukuze yeye tu sio binadamu. Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…