USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Uanmlinganisha huyu mvuta bangi mwamakula na pope. Pope amesoma huyu mwamakula unakula kwa utapeli tu
Kwa UFINYU wa akili zako. Hata POPE Francis kule Vatican anakemea na kukosoa maovu mbali mbali duniani lakini akifanya hivyo Askofu Mwamakula KOSA! Kule South Africa kuna Askofu TUTU naye alikemea na anaendelea kukemea maovo mbali mbali ndani ya Afrika Kusini na kwingineko duniani ambao umemjengea umaarufu mkubwa sana katika Nchi nyingi duniani.