Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

Hawa akiri zao zimekuwa kam za kenge,
Wanashabikia vitu ambavyo hata havitimii kama wanavyotaka, lakini wapo tu kila siku na uninga kam wa mwamakula,
Badala ya kufundisha watu waacha ushetani huko kanisani kwake yeye anatafuta mambo ya siasa,
Ajitose kama gwajima tu ili awe huru kusema mambo ya siasa ya upande aliopo.
Sasa washabiki wamekuwa na mitusi kama watoto wasiokuwa na wazazi wa kuwakanya.
Hawaijui demokrasia wao ukiwasema wanakasirika harafu wanajiita wanademos ,wanataka kila mtu aichukie serkali
 
Kuwaza kwa kufikiri Fulani atapendezwa nahili au atachukizwa na lile Ni hangs kubwa Sana, Tumuombe Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema atuongoze na tumtukuze yeye tu sio binadamu. Amina
Mungu hasikiliza maombi ya wenyedhambi kama nyie
 
Muulize kwanzawaka

Muulize kwanza wakati wanasafiri kwenye kampeni na katimba walikuwa wanalala chumba kimoja au tofauti? Na kama ni kimoja kilikuwa na vitanda vingapi?
Je mpaka sasa wanawasiliana na katimba au hapana?
Je maombi yao yalisikilizwa au mungu aliyatupilia mbali?
Je bado wanamuamini mungu kwa kila jambo au kwabaadhi ya mambo?
Duh! Kwangu mpya hii
 
Una UFINYU wa akili wewe, Askofu kazunguka Tanzania nzima wakati wa kampeni halafu leo unaandika upuuzi/uongo wako kwamba eti anajificha! Wahi Mirembe wakakufungulie faili kabla hujaharibikiwa zaidi.

Sawa askofu bandekule mwana uamsho hahahha .kaombe na wewe TBC1 kipindi sio kujificha JF eti anaandika askofu mara anasema askofu mara kutoka kwa askofu si uombe tu uwe verified
 
Una UFINYU wa akili wewe, Askofu kazunguka Tanzania nzima wakati wa kampeni halafu leo unaandika upuuzi/uongo wako kwamba eti anajificha! Wahi Mirembe wakakufungulie faili kabla hujaharibikiwa zaidi.
Bande -Kule
 
Mkuu,

Kwa hiyo wewe ndiye huyu kiongozi wa kiroho-Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki?

Kama ndio wewe basi ni wazi umepwaya kuitwa kiongozi wa kiroho. Kiongozi wa kiroho anakemea na kuonya kwa HEKIMA kisha kutoa mwongozo wa nini kifanyike kwa BUSARA, lakini maandiko yako mengi yanakosa vitu hivyo. Kiongozi hana chuki na mtu wala hasira zisizo na maana lakini wewe unajionesha bayana ulivyo. Naonaujitahidi kupigania nafsi na mwili kuliko roho kama utume wa kazi ya Mungu ulivyo. Siasa haiponeshi roho ila huburudisha hisia za kufikirika. Neno la Mungu huponesha roho, mwili na nafsi kwa kuacha matendo maovu. Duniani hakuna serikali zilizookoka ndio maana Yesu alisema ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu lakini wewe ni lukewarm katika mtazamo huo.

Mawazo yangu pia yaheshimiwe kwa kuwa ni sehemu ya kukurekebisha na wewe na usijione ni Malaika kwamba unachokisema kinawezekana umetumwa na Mungu kumbe ni hisia zako za kufikirika kwa mgongo wa haki ya itikadi kinzani.
Kama ni mkristo nenda kasome vitabu vya wafalme 1&2 uone manabii wa Mungu walikua wana waonya vipi viongozi wa serikali walio pwaya..Hoja yake ni kwamba viongozi wa dini wasifie..waonye na kukemea wazi wazi bila kusimama upande wowote..na jamii ielewe hivyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.

Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib wa BAKWATA wanatoa maoni yao kuhusu Utendaji wa Rais Magufuli hususan Uteuzi wa Baraza la Mawaziri uliofanywa hivi karibuni. Wamesifia weredi, na umakini wa Rais katika kuunda Baraza lake la Mawaziri na kwamba amefuata viwango, vigezo na Katiba.

Hayo ni maoni ya viongozi hao wa dini. Wao wameamua kusifia na hicho walichokiona. Hatuwezi kusema wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba lakini pia ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaosifia utendaji wa Serikali.

Vilevile, ni vizuri tukaelewa kuwa wapo viongozi wa dini wanaotoa maoni yao kwa njia ya kukosoa, kuonya au kukemea pale wanapoona kuwa hapaendi sawa. Nao ni mtazamo wao na hatuwezi kusema kuwa wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba na ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaokuwa na maoni tofauti kwa kukosoa, kuonya na kukemea mambo yasiyokwenda sawa!

Tanzania tuwe tayari kusikia maoni ya viongozi wa dini yawe ya kusifia, kuonya, kukemea au kukosoa. Tunawatia moyo kuanzia Januari 2021 kujitokeza kwa wingi kusikiliza maoni ya Askofu Mwamakula kupitia "Matembezi ya Hiyari" kuhusu umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Uandikwaji wa Katiba Mpya!

Mwana Kondooo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Farisayo na Sadukayo walikuwa TBC
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Alikosoa chama gani? Papa anakemea watu wote wakiwamo wa chadema wanaoua watu na kuwatupa wakati wamewapigia simu.
Kwani huko chadema hakuna maovu mbona huyo mwamakula na bagonza hajawakemea na wale wakiokuwa wanataka mapemzi ya jinsia moja?
Au kwa vile na yeye alikuwa analala na katimba ndo maana alikaa kimya?
Mkuu tufafanulie huyo katimba ndiyo nani? Na wakafikia kulala kitanda kimoja!
 
Huyu in muasi, hakuna kanisa la Moravian la uamsho! Anapenda tu kiki huyu askofu, alikuwa anawaongoza kwa Sara wapumuliwa visogoni, hii ni laana!
Eti Kanisa la Morovian la uamsho! Dizaini Kama alifukuzwa Na Morovian.
Ila ana bidii ya kutafuta Kiki hadi akawa mjumbe wa kudumu kwenye kampeni za Lissu!
 
Alikula pesa za usharika akaleta siasa akafukuzwa kama Mungu alivyomfukuza Adam pale Eden sasa anatafuta kiki za kisiasa huyu bandekule anaishi kwa utapeli mbeya
 
Na hajatubu dhambi ya kul sadaka za wanyonge wa Moroviani
 
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.

Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib wa BAKWATA wanatoa maoni yao kuhusu Utendaji wa Rais Magufuli hususan Uteuzi wa Baraza la Mawaziri uliofanywa hivi karibuni. Wamesifia weredi, na umakini wa Rais katika kuunda Baraza lake la Mawaziri na kwamba amefuata viwango, vigezo na Katiba.

Hayo ni maoni ya viongozi hao wa dini. Wao wameamua kusifia na hicho walichokiona. Hatuwezi kusema wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba lakini pia ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaosifia utendaji wa Serikali.

Vilevile, ni vizuri tukaelewa kuwa wapo viongozi wa dini wanaotoa maoni yao kwa njia ya kukosoa, kuonya au kukemea pale wanapoona kuwa hapaendi sawa. Nao ni mtazamo wao na hatuwezi kusema kuwa wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba na ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaokuwa na maoni tofauti kwa kukosoa, kuonya na kukemea mambo yasiyokwenda sawa!

Tanzania tuwe tayari kusikia maoni ya viongozi wa dini yawe ya kusifia, kuonya, kukemea au kukosoa. Tunawatia moyo kuanzia Januari 2021 kujitokeza kwa wingi kusikiliza maoni ya Askofu Mwamakula kupitia "Matembezi ya Hiyari" kuhusu umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Uandikwaji wa Katiba Mpya!

Mwana Kondooo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Askofu Gwamanywa na Shehe Twalib wa Bakwata hebu tufafanulieni umakini wa baraza la mawaziri mlilolisifia ambalo bado hatujaona utendaji wake japo tumeona mmojawao akishindwa kusoma kiapo!
 
  • Thanks

MATAGA wakupe ufafnuzi?
 
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.

Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib wa BAKWATA wanatoa maoni yao kuhusu Utendaji wa Rais Magufuli hususan Uteuzi wa Baraza la Mawaziri uliofanywa hivi karibuni. Wamesifia weredi, na umakini wa Rais katika kuunda Baraza lake la Mawaziri na kwamba amefuata viwango, vigezo na Katiba.

Hayo ni maoni ya viongozi hao wa dini. Wao wameamua kusifia na hicho walichokiona. Hatuwezi kusema wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba lakini pia ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaosifia utendaji wa Serikali.

Vilevile, ni vizuri tukaelewa kuwa wapo viongozi wa dini wanaotoa maoni yao kwa njia ya kukosoa, kuonya au kukemea pale wanapoona kuwa hapaendi sawa. Nao ni mtazamo wao na hatuwezi kusema kuwa wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba na ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaokuwa na maoni tofauti kwa kukosoa, kuonya na kukemea mambo yasiyokwenda sawa!

Tanzania tuwe tayari kusikia maoni ya viongozi wa dini yawe ya kusifia, kuonya, kukemea au kukosoa. Tunawatia moyo kuanzia Januari 2021 kujitokeza kwa wingi kusikiliza maoni ya Askofu Mwamakula kupitia "Matembezi ya Hiyari" kuhusu umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Uandikwaji wa Katiba Mpya!

Mwana Kondooo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
Sijawahi kuona ka-Askofu kaalikopauka kama hako ka-Mwamakula
 
Mkuu,

Kwa hiyo wewe ndiye huyu kiongozi wa kiroho-Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki?

Kama ndio wewe basi ni wazi umepwaya kuitwa kiongozi wa kiroho. Kiongozi wa kiroho anakemea na kuonya kwa HEKIMA kisha kutoa mwongozo wa nini kifanyike kwa BUSARA, lakini maandiko yako mengi yanakosa vitu hivyo. Kiongozi hana chuki na mtu wala hasira zisizo na maana lakini wewe unajionesha bayana ulivyo. Naonaujitahidi kupigania nafsi na mwili kuliko roho kama utume wa kazi ya Mungu ulivyo.

Siasa haiponeshi roho ila huburudisha hisia za kufikirika. Neno la Mungu huponesha roho, mwili na nafsi kwa kuacha matendo maovu. Duniani hakuna serikali zilizookoka ndio maana Yesu alisema ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu lakini wewe ni lukewarm katika mtazamo huo.

Mawazo yangu pia yaheshimiwe kwa kuwa ni sehemu ya kukurekebisha na wewe na usijione ni Malaika kwamba unachokisema kinawezekana umetumwa na Mungu kumbe ni hisia zako za kufikirika kwa mgongo wa haki ya itikadi kinzani.
Mnaoneemeka na utawala wa Magufuli hamko tayari akosolewe. Hivi mnamuona kama malaika au Mtume?
 
Back
Top Bottom