Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

Askofu Mwamakula: Viongozi wa dini ndani ya TBC

Kama ni mkristo nenda kasome vitabu vya wafalme 1&2 uone manabii wa Mungu walikua wana waonya vipi viongozi wa serikali walio pwaya..Hoja yake ni kwamba viongozi wa dini wasifie..waonye na kukemea wazi wazi bila kusimama upande wowote..na jamii ielewe hivyo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu,

Hujitambui wewe, kama anatakiwa asiwe upande wowote kwanini yeye yuko upande mwingine?

Huyo askofu muasi sio kiongozi wa kirpho bali kiongozi wa dini na hisia za kufikirika

Tazama wanazuoni wanavyochambua nini maana ya dini sio hicho unachotaka watu wakuamini wewe ambaye hata iweje ni NITA NIKUVUTE mwanzo mwisho bila tija yoyote.

Paraphrased in brief below

The Westerners have tried to use a different term to achieve the correct and consistent meaning of the word (religion), John Hick in his book The Philosophy of Religion, has introduced the religion through various perspectives based on different fields of education. and the meaning of the word religion as well as its definition in the book are as follows:

The meaning of religion in the field of Psychology : "Religion is the state and special feeling that a person experiences when he is alone, a state that is often valued and trusted by that person as being from God". quoted from William James .

Definition of religion from the point of view of the field of Social Education : "Religion is a specific number of ideologies, practices, symbols as well as religious units that are constructed by members of the community within the various communities". Quoted from Talcott Parsons .

Definition of religion in the view of Paganism ( Naturalism ): "Religion is a series of commands and prohibitions which are the barriers that deprive a person of freedom, the barriers that cripple our natural capacity". Quoted from (Saloman Reinach ).

And Matthew Arnold adds: "Religion is the special character and feeling that makes a person feel that, there is a special kind of supernatural power over him, and those feelings that some people have, are what raised the whole issue of religion."

D- one of the religious meanings: “is to accept and believe that: all beings are from God, and that they are manifestations of the power of that God, the God who cannot be manipulated by our intellectual intellect. [1] Quoted from Herbert Hpencer .

The various meanings quoted from various Western scholars are sufficient reason why Western scholars agree that the word (religion) cannot find one common meaning that is accepted by all people without objection, but that the word (religion) is a collection of various forms. of different ideologies that in one way or another have some kind of relationship between them. And Ludwig Josef Johann Wittgenstein likens this relationship to: “The relationship between the various ideologies is as much as the family relationship [2] . [3]

The Qur'an also translates the word (religion) into the following two meanings:

1- Any kind of ideology on the supernatural powers whether the ideology is right or wrong. As the Lord says:

. « لكم دينكم ولى دين " [4]

2- The ideology of believing and obeying only the God of justice. As the Lord says:

. « ان الدين عندالله الاسلام » [5]

And when we Muslims talk about religion or talk about our religion, we are referring to the second meaning of the word, the meaning of which is based only on the ideology of believing in one Lord of justice, and religion can be studied in different fields, such as the study of the religion in our hands as it came to you and me hand in hand, and the original religion before being dispersed through the hands of different people (real religion).

For more research you can read the book:

Wilayat of diyaanat second edition, of Ayatullahi Mahdi Hadawiy Tehraniy, published by Mu print Farhangiy Khaneye Khirad, Qum 1380 Shamsia
 
Jiunge na uwe verified user uache usanii
VIONGOZI WA DINI WATUMIA TBC KUTOA MAONI YAO KUMSIFIA RAIS MAGUFULI.

Tarehe 9 Desemba 2020 majira ya Saa 9 asubuhi. Nipo katika runinga nikitazama na kuangalia kipindi maalum katika TBC. Kuna viongozi wawili wa dini, Askofu Sylivester Gamanywa wa WAPO Mission International na Sheikh Swed Twaib wa BAKWATA wanatoa maoni yao kuhusu Utendaji wa Rais Magufuli hususan Uteuzi wa Baraza la Mawaziri uliofanywa hivi karibuni. Wamesifia weredi, na umakini wa Rais katika kuunda Baraza lake la Mawaziri na kwamba amefuata viwango, vigezo na Katiba.

Hayo ni maoni ya viongozi hao wa dini. Wao wameamua kusifia na hicho walichokiona. Hatuwezi kusema wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba lakini pia ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaosifia utendaji wa Serikali.

Vilevile, ni vizuri tukaelewa kuwa wapo viongozi wa dini wanaotoa maoni yao kwa njia ya kukosoa, kuonya au kukemea pale wanapoona kuwa hapaendi sawa. Nao ni mtazamo wao na hatuwezi kusema kuwa wanafanya siasa au wanachanganya dini na siasa. Ni haki yao kikatiba na ni haki ya wananchi kusikia maoni ya viongozi wa dini wanaokuwa na maoni tofauti kwa kukosoa, kuonya na kukemea mambo yasiyokwenda sawa!

Tanzania tuwe tayari kusikia maoni ya viongozi wa dini yawe ya kusifia, kuonya, kukemea au kukosoa. Tunawatia moyo kuanzia Januari 2021 kujitokeza kwa wingi kusikiliza maoni ya Askofu Mwamakula kupitia "Matembezi ya Hiyari" kuhusu umuhimu wa Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na Uandikwaji wa Katiba Mpya!

Mwana Kondooo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula - Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom