Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Askofu katoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa Facebook ambapo kaweka maelezo ya mtu aliedai kuwa ni ndugu wa Polepole
Mkiamka niamsheni na mimiWanaodai kutuongoza ni watekaji!.
Hivi tunakubali vipi jambo hili???....
Tuamkeeeee...
mimi mwenyewe naamini polepole yupoKuna watu humu kama watatu wawili huwa wanacomment Polepole hajauawa, yupo. Sijawahi wachukulia serious…. Why waendelee kumuweka, watamrudisha akiwa bubu au?
Kuna watu humu kama watatu wawili huwa wanacomment Polepole hajauawa, yupo. Sijawahi wachukulia serious…. Why waendelee kumuweka, watamrudisha akiwa bubu au?
Ni kweli polepole yuko hai?Kazuiliwa kwa mkakati. Mengine tunaangalia tu, tusije shikana uchawi na ukizingatia JF wajuaji ni wengi. Ila PolePole ni kete hiyo wanataka itumiaje za kuambiwa changanya na zako
Dah aiseee mimi siamini hata kidogo.mimi mwenyewe naamini polepole yupo
Duh haya mapya mwanetu.Tena wanasema yuko chumba cha 2 kutoka anachokaa Lissu,
Inaogopesha sanaa. 😢😢😢
Kuna huyu Dogoli kinyamkela alishasema ameota ndoto kuwa Polepole ananyea debe ukonga.Kuna watu humu kama watatu wawili huwa wanacomment Polepole hajauawa, yupo. Sijawahi wachukulia serious…. Why waendelee kumuweka, watamrudisha akiwa bubu au?
😀😀😀🤞🏻🤞🏻Kuna huyu Dogoli kinyamkela alishasema ameota ndoto kuwa Polepole ananyea debe ukonga.
Hii nayo sijui ni voices from within kama yale masauti ya mapepo ya mzee paskali Pascal Mayalla
Serious mkuu?Ndio yupo hai, ni mzima.
Lisemwalo lipo.Askofu katos taarifa hiyo kupitia mtandao wa Facebook ambapo kaweka maelezo ya mtu aliedai kuwa ni ndugu wa Polepole
View attachment 3663799
View attachment 3663800
Kuna siku mtakuja kuelewa nn tulicho kua tunakisemaKuna huyu @Dogoli kinyamkela alishasema ameota ndoto kuwa Polepole ananyea debe ukonga.
Uzi uko wapiKuna siku mtakuja kuelewa nn tulicho kua tunakisema