Askofu Mwamkula adai kupewa taarifa na ndugu wa Polepole kuwa Polepole yuko gereza la Ukonga

Kuna watu humu kama watatu wawili huwa wanacomment Polepole hajauawa, yupo. Sijawahi wachukulia serious…. Why waendelee kumuweka, watamrudisha akiwa bubu au?
Kuna huyu Dogoli kinyamkela alishasema ameota ndoto kuwa Polepole ananyea debe ukonga.

Hii nayo sijui ni voices from within kama yale masauti ya mapepo ya mzee paskali Pascal Mayalla
 
Akili za Kuambiwa changanya na za kwako.
Mtego huo!!!!.
Baba Askofu unatafutwa kiaina.
Ila Nenda huo ndio wito wa Utumishi wa Mungu.

Kumtumikia Mungu ni Gharama kubwa sana.

Mungu akuongoze, sisi Tupo nyuma yako tunasubiri majibu.
Tunakuombea huko uendako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…