It makes sensesWazee wa kuunga dods kuna nini?
Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.
Hatuhitaji drama katika hili.
- Ponjoro wa Kinondoni
- hii humphrey humphrey polepole jumapili mama yake polepole
- Replies: 46
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hao watekaji nawatamani sana.Watamrudisha, tu ili ku clear upepo flani ambao upo.. Watekaji wangekuwa hawa ui na kufumua marinda ningesemaa π π .. Ila nikiwaza michezo yao naishiwa pawaa nafunga mdomo wanguu tuu
Inafikirisha sanaaKuna watu humu kama watatu wawili huwa wanacomment Polepole hajauawa, yupo. Sijawahi wachukulia seriousβ¦. Why waendelee kumuweka, watamrudisha akiwa bubu au?
Sana mkuu.Inafikirisha sanaa
Bomba litatoka na utumbooo shauri yakoo.. Ebu futa hiyo quote yako kwangu..Hao watekaji nawatamani sana.
Tena anipelekee moto huku amevaa kininja usoni halafu aniwekee bastola kwenye komwe inanoga sana.
Ni mwendo wa humu tu.
Usiombe ukutane na mtekaji TALL, DARK and HANDSOME utaacha ndala.
Cc: cocastic Dogoli kinyamkela
ππππBomba litatoka na utumbooo shauri yakoo.. Ebu futa hiyo quote yako kwangu..
Wanajaribu demonstrate mkono wa chuma, ila nature ya Tanzania inakataa. Ni swala la mdaSana mkuu.
Kumuweka mtu kizuizini ilipaswa akamatwe kwa taratibu zinazostahili, hii kutekwa halafu bado wawe naye ni ngumu kwangu kuifikiria.
π€π»π€π»Wanajaribu demonstrate mkono wa chuma, ila nature ya Tanzania inakataa. Ni swala la mda
Siku hizi akipotea mwana CHADEMA au anayeshabikiwa na CDM basi unaenda kuripoti kwa Askofu tuAskofu katos taarifa hiyo kupitia mtandao wa Facebook ambapo kaweka maelezo ya mtu aliedai kuwa ni ndugu wa Polepole
View attachment 3663799
View attachment 3663800
NEVERNi kweli polepole yuko hai?
Hii taarifa ni potoshi. Jamaa anataka kuhamisha mjadala wa Emmanuel Nchimbi. Polepole keshaliwa supu na π¦.Askofu katos taarifa hiyo kupitia mtandao wa Facebook ambapo kaweka maelezo ya mtu aliedai kuwa ni ndugu wa Polepole
View attachment 3663799
View attachment 3663800