Askofu Mwanamapinduzi: Hatutamwacha Mpenda Haki Peke Yake

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Kwa mtu anayependa haki hawezi kubaki nyuma, kuna namna tu lazima atashirikiana na wenzake katika mapambano ya kudai haki. Vita ya mpenda haki mmoja ni vita ya wapenda haki wote. Leo tukiwa Mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya mpenda haki mwenzetu, Mwenyekiti wa Chadema Mhe Tundu Lissu

 
Unafiki ni kitu kibaya sana. Mungu mkubwa, ataendelea kusimama na muonewa, mpigiwa majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…