Ndugu zangu Watanzania!
Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi!
Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
Leo Septemba 29, 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imemuachia huru Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima, Mkoa wa Simiyu, na Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (GCTC) Maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima...
Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula.
Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha.
Askofu Gwajima yupo hatarini
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema;
"Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye...
Singida. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Mwanamapinduzi amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida mkoani Singida.
Hatua hiyo...
Ushahidi katika shauri la kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya ITILIMA mkoani SIMIYU Askofu Machumu Kadutu maarufu kama MWANAMAPINDUZI uliopangwa kusikilizwa kwa siku tatu mfululizo kutoka Agosti 5 mpaka agosti 7 umefungwa siku ya...
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu kama Mwanamapinduzi, ameibua maswali kuhusu hatua ya Serikali kufungia makanisa yote ya Ufufuo na Uzima nchini akisema waumini wa makanisa hayo sasa wanaishi kama ‘wakimbizi wa kiroho’.
Akizungumza...
"Kwa mtu anayependa haki hawezi kubaki nyuma, kuna namna tu lazima atashirikiana na wenzake katika mapambano ya kudai haki. Vita ya mpenda haki mmoja ni vita ya wapenda haki wote. Leo tukiwa Mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya mpenda haki mwenzetu, Mwenyekiti wa Chadema Mhe Tundu Lissu
Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara.
Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
Askofu Maximiliani Machumu (Mwanamapinduzi) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima anasema kwamba kapata taarifa, kuna watu wametumwa kuja kumpiga risasi akiwa kanisani akipanda gari.
Amesema yeye haogopi kwenda Kusali kwani analindwa na Zaburi ya 91:10 "Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia...
Askofu Mwanamapinduzi ametoa ushauri wa serikali na jeshi la polisi kwamba wasiwazuie watu kusali kama wamezui kanisa watu wawe na haki ya kusali kwa njia ambayo ni ya amani, njia ambayo aivunji sheria ya nchi.
Askofu Mwanamapinduzi ameyasema haya leo Juni 26, 2025, wakati akizungumza na The...
https://youtu.be/WKvWtoKpLJs?si=ZqVSuExXQMtxQOv2
√ Huyu ni mmoja wa maaskofu walio chini ya Askofu mkuu wa kanisa la Jumba la Ufufuo na Uzima chini ya usajili wa Glory Christ Tanzania Church (GCTC) Mch Josephat Mathias Gwajima
Anasema:
1. Kanisa halikuwahi kupewa notice au onyo au hata nafasi...
Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa kuchukuliwa kawaida.
Katika kauli yake, Askofu Mwanamapinduzi amesema hoja alizotoa Gwajima ni...
Waswahili wanasema hivi;
"...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..."
Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni;
Vita kati ya HAKI na UOVU...
Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI...
Watumishi wa Mungu...
Courtesy: MwanaHalisi Online TV
Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...
Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya...
Wanabodi,
Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie.
Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM
Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana.
"Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi...
Wakuu,
Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.
=====
"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati.
Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Ndugu yangu askofu Josephat Gwajima wewe ndiye baba askofu mkuu wa makanisa yote ya ufufuo na uzima Tanzania, wewe ni mbunge na ni kada wa chama Cha mapinduzi unakiona anachofanya mojawapo ya wachungaji wako pale Kibaha kwa Mathias ?
Askofu mwanamapinduzi amelibadili kanisa la Kibaha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.