hizi harakati kuhamishiwa kwenye nyumba za ibada ni HATARI SANARuka juu lala chini umekataliwa

Ila Tanzania😂😂😂😂🙌Ruka juu lala chini umekataliwa
Huyu anahubiria wajinga. Na ni haki yake kuwadanganya wajinga!Ruka juu lala chini umekataliwa
mbona wewe ndo unaonekana kubwa la majinga.Huyu anahubiria wajinga. Na ni haki yake kuwadanganya wajinga!
ANANUKA ANANUKA ANANUKARuka juu lala chini umekataliwa
Sawa.mbona wewe ndo unaonekana kubwa la majinga.
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADARuka juu lala chini umekataliwa