Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA

ameamua kusema madhabahuni. wewe ni nani umpangie pa kusema ukweli utokao kwa Mungu.
 
Screenshot_20250719-174622~2.png
 
Umelaaaniwa wewe na kizazi chako ..unamuita Askofu mwehu?
Kwani Askofu ni MUNGU?, tena askofu huyu ni wa mchongo, anahaki ya kumpinga RAIS lakini si madhabahuni, hayo ni matumizi mabaya ya nyumba ya ibada, hii inaitwa Misuse of Scripture,
Yesu alisema "Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu"- Marko 12:17

​

 
Hiyo mitano hata tawala kwa amani Bora apumzike kwa amani
Wabongo sio watu wakubetia kiongozi wanaenda na upepo tu unadhani akipita katika hili utasikia kelele tena au ndio wanarudi kwenye praise and worship team?
 
Ruka juu lala chini umekataliwa
Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo manabii wa kishetani, wakiwemo wahubiri
, wachungaji, mitume, na maaskofu wa hivi vikanisa, wanavyozidi kuibuka na kutuletea tabiri zao za kishetani!.

Miongoni mwa hao waumini, kuna wana CCM, hivyo unapohubiri madhabahuni kuwa Rais Samia amekataliwa na Mungu, lazima useme jinsi ulivyozungumza na Mungu mlizungumza vipi?, kwa sauti, kwa maono, kwa ndoto, etc, na alimpomkaa Samia, alitoa sababu ya kumkataa?.

Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

P
 
Back
Top Bottom