Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

maana ya mpe kaisari yaliyo ya kaisari, ina maana pana zana na imefafanuliwa kwa undani zaidi kama unaweza isoma biblia, kila verse inaku-direct kwenye verse nyingine kwa uchambuzi zaidi

maana yake kwa mapana ni;
The phrase "give to Caesar what is Caesar's and to God what is God's" means that individuals should fulfill their obligations to both the secular government and to their faith. It implies a separation of church and state, recognizing the legitimacy of both earthly authority and divine authority.
huna unachosema hapo kwa sababu, wakisifiwa madhabahuni wanakubali ikiwa kinyume hawataki. Muwe mnakataa na sifa sasa
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Na kuleta udini pia. Tukisema kuwa sababu ya msingi haswa ya kampeni zote hizi ni dini yake mnakataa lakini huo ndo ukweli.
 
Ahahaha Magwayaaa
Magwayaa mpumbavu kuna moja ilipigwa kona yeye baada ya kupiga kichwa kuokoa kajifunga ndio naona sasa watu wanataka bi mkubwa afanye.

Sema CCM hawana huruma, huyu bibi wa watu wanataka wamtembeze mikoa 20+ bara kuomba kura kweli?Bi mkubwa nae kujiongeza kashindwa kiti alikikalia kimazabe kisa timu pinzani haikuleta timu uwanjani basi naye anataka kujifanya bingwa wa kutandaza boli(shauri yake).

Ningekuwa mimi nimekwaa urais kimazabe hivi nawapiga katiba mpya dakika za jioni naingia mitini(mkauane wenye huko)
 
Atuachie wenyewe hata mi ningefanya ivyo ivyo ye anakomaa nao kma ngoma ya crazie GK ama zangu ama zao 😂😂😂. Sema nini maza hataki kutoka kama kipa wa Madrid alivyokuwaga chelsea kuna gem aligoma kutoka alikataa kabisa kufanyiwa sub.
 
Ruka juu lala chini umekataliwa
Hii ni clip ya zamani sana, alipokuwa kibaha ambako pia wamefunga kanisa. tangu mgogoro uanze, na ilivokuwa jana msando alipofika kwenye ukumbi wa semina waliokodi, nadhani wameahidiana mazungumzo yafanyike, nashauri acheni uchochezi, watu kama wameamua kukaa mezani waacheni wakae, ili waumini wengi zaidi ya 3m waanze kusali tena na siasa zenu ziendelee nje ya madhabahu. acheni uchochezi.
 
Wakristo Makafiri hupenda kushagilia ujinga wala hayafikirii hata yakitukanwa wanashangilia mijinga sana waislamu wana vua viatu wakiingia msikitini wakristo makafiri wanavua akili wakiingia kanisani
 
Back
Top Bottom