Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Wakristo Makafiri hupenda kushagilia ujinga wala hayafikirii hata yakitukanwa wanashangilia mijinga sana waislamu wana vua viatu wakiingia msikitini wakristo makafiri wanavua akili wakiingia kanisani
Makafiri hujilipua kule uarabuni? Kuna kafiri mnafiki? Wasio makafiri wamekumbatia utekaji, mauaji, kubambikia watu kesi za uongo, Mashehe ubwabwa huwa wengi ni machawaccm, Kati ya kafiri na Asiye kafiri bora kafiri kwani yeye husoma hadi vyuo vikubwa, lakini asiye kafiri husoma kiarabu lugha ya Mwarabu asiyesoma asiye na tekinologia na anatumia pesa zake kununua tekinologia kwa makafiri ambao huchimba mafuta kwake na pia kumuuzia makombora na vifaa vyote vya kijeshi
 
Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo manabii wa kishetani, wakiwemo wahubiri
, wachungaji, mitume, na maaskofu wa hivi vikanisa, wanavyozidi kuibuka na kutuletea tabiri zao za kishetani!.

Miongoni mwa hao waumini, kuna wana CCM, hivyo unapohubiri madhabahuni kuwa Rais Samia amekataliwa na Mungu, lazima useme jinsi ulivyozungumza na Mungu mlizungumza vipi?, kwa sauti, kwa maono, kwa ndoto, etc, na alimpomkaa Samia, alitoa sababu ya kumkataa?.

Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

P
Rejea utabiri wa marehemu Shekhe Yahya ndipo utapata jawabu kuwa yaliyotokea Senegal na Zambia yanaenda kutokea Tanzania
 
Huyu anahubiria wajinga. Na ni haki yake kuwadanganya wajinga!

Unachotakiwa kufahamu ni kuwa huyu alikuwa Rais wa ajali, wa kipindi cha mpito. Katika hali ya kawaida, hata umakamu ilikuwa ni nafasi kubwa mno kwake.

Tanganyika imeingia kwenye record ya Dunia kuwa nchi pekee iliyoongozwa na secretary form 4 failure ambaye utawala wake ulijikita kwenye kuteka na kuua watu kama njia ya kulazimisha kukubalika.
 
Maza wakikaa vibaya atajifunga huyu.Maana huku Polepole,kwingine unasikia Gwajima,gafla huyu nae kaingia sijui sub ya nani dah! Maza atakuja kufanya yale ya beki la gharama kubwa la Man U muda si mrefu
Wenye ccm yao akina Nape, kinana, Bashiru, makamba, mpina, na wenzao wengi saa 24 wanawaza muungano Ufe Tanganyika iwe Nchi huru
 
Magonjwa ya akili yamekuwa janga kubwa Tanzania kwa sasa.
Wagonjwa ni wapi sasa? Wale wanaobambikia Lisu na chadema kesi za uongo? au wagonjwa na wale watekaji wauaji wa wakosoaji? Wagonjwa na wapi sasa?
 
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa huyu alikuwa Rais wa ajali, wa kipindi cha mpito. Katika hali ya kawaida, hata umakamu ilikuwa ni nafasi kubwa mno kwake.

Tanganyika imeingia kwenye record ya Dunia kuwa nchi pekee iliyoongozwa na secretary form 4 failure ambaye utawala wake ulijikita kwenye kuteka na kuua watu kama njia ya kulazimisha kukubalika.
Laana ya kuwaonea kuwanyanyasa chadema ndiyo inamtafuna sasa
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Wa mchongo kwa sababu kasema usichopenda?

Angesema Lisu au Mpina kakataliwa usingesema hii kitu mkuu
 
Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo manabii wa kishetani, wakiwemo wahubiri
, wachungaji, mitume, na maaskofu wa hivi vikanisa, wanavyozidi kuibuka na kutuletea tabiri zao za kishetani!.

Miongoni mwa hao waumini, kuna wana CCM, hivyo unapohubiri madhabahuni kuwa Rais Samia amekataliwa na Mungu, lazima useme jinsi ulivyozungumza na Mungu mlizungumza vipi?, kwa sauti, kwa maono, kwa ndoto, etc, na alimpomkaa Samia, alitoa sababu ya kumkataa?.

Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

P
Hahahaa, Pascal amini tu kuwa wajumbe wa shetani ila hata wangekuwa wa YEYE wala halazimishwi namna ya kuongea na sababu za kuongea. Ila jiangalie isijekuwa UNAKUFURU ikiwa kweli wametumwa kusema NIMEMKATAA SAUL, ninamtumishi wangu kwenye nyumba ya Yese naweza wasema ni wajumbe wa Mr devil. Acha unabii UJIPIGANIE wenyewe.
 
Wa mchongo kwa sababu kasema usichopenda?

Angesema Lisu au Mpina kakataliwa usingesema hii kitu mkuu
Mimi ni mkristo najua miiko ya injili, mauaji ya kimbari Rwanda yalichochewa pia na mahubiri ya kanisani, injili ikawa politisized
Pope Francis has asked for forgiveness for the Catholic church’s role in the 1994 Rwandan genocide, in which 800,000 people were slaughtered in 100 days of violence. The “sins and failings of the church and its members” had “disfigured the face” of Catholicism, he said.
 
huna unachosema hapo kwa sababu, wakisifiwa madhabahuni wanakubali ikiwa kinyume hawataki. Muwe mnakataa na sifa sasa
..mimi sishabikii aina yoyote ya siasa kanisani, kuipongeza au kuikosoa serikali kanisani si mahala sahihi kwa sabbu ya mchanganyiko wa waumini wenye itkadi tofaouti za kisiasa,
 
Mimi ni mkristo najua miiko ya injili, mauaji ya kimbari Rwanda yalichochewa pia na mahubiri ya kanisani, injili ikawa politisized
Pope Francis has asked for forgiveness for the Catholic church’s role in the 1994 Rwandan genocide, in which 800,000 people were slaughtered in 100 days of violence. The “sins and failings of the church and its members” had “disfigured the face” of Catholicism, he said.
Mimi sjakuuliza dini yako

Embu nijifunze pia hapa kwa sababu una dini.. Je, Unabii upo au haupo?
 
Na kuleta udini pia. Tukisema kuwa sababu ya msingi haswa ya kampeni zote hizi ni dini yake mnakataa lakini huo ndo ukweli.
Mimi sijui dini nyingine zaidi ya ukristo, politics in church is divisive, na ina kwaza sana waumini wenye msimamo na itikadi tofauti na siasa zinazohubiriwa madhabahuni
 
Back
Top Bottom