Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Eeeh,matumizi mabaya ya ibada ni huyu muumini fake DC anayesubiriwa na mapolisi nje.
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Wana access ndiyo,lakini wanapotoa ushauri huko wanapewa chai,zingatia neno chai,na wanapopewa imeisha hiyo
 
Kama Mungu kamkqtaa sisi ni nani tumkubali,
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu nadhani mchungaji kamaanisha ivo
 
Ruka juu lala chini umekataliwa
Mijizi mikubwa hii,hawalipi kodi kazi.kujusanyq sadaka za wajinga.TRA hawa wangekwenda kuwabana kwa kidi,mijizi hii.Huyu ndio.kakataliwa na Mungu,kwa kutopsta hatavuwrnyikiti wa mtaa,kama ni.kanisa,mtu yoyote aweza akafunguwa,na kuwaibia wananchi.Mwizi mkubwa huyu.
 
Kama Mungu kamkqtaa sisi ni nani tumkubali,
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu nadhani mchungaji kamaanisha ivo
Yeye nmchungaji ndio.Mungu kamkataa,akaanzisha kanisa la mchongo,anawaibia waumini kwa sadaka.Jizi hili,anawaibiq wajinga kwa sadaka na hatoi kodi za serekali.
 
Mungu amemkataa na mashetani menzie yamemkataa sasa haelewi nini? Au yeye ndio shetani mwenyewe?
 
nampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisa
  • Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu, Mk 12:17
  • Kazi ya kanisa ni kuhubiri habari njema, Luka 4;43
mchungaji/padre kushawishi watu waamini na kufuata mtizamo wake wa kisiasa akiwa kanisani kama sehemu ya mahubiri ya bibilia, hayo ni matumizi mabaya ya madhabahu
Mchungaji wa mchongo hata bublia haijui inasema nini
 
Back
Top Bottom