Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Ila ni ruksa rais kupoteza/kuua /kuteka watu?

Ni sahihi kusema Kifo ni kifo?
 
Kuna watu wanajua jilipua,sema ukiwa na hela unakua jasiri sana.

Mimi siwezi asee,ntamkataa komoyo moyo na siendi huko kutiki ila kuropoka hadharan ah weee sina wakunletea habari za uraiani nikidakwa mimi
 
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa huyu alikuwa Rais wa ajali, wa kipindi cha mpito. Katika hali ya kawaida, hata umakamu ilikuwa ni nafasi kubwa mno kwake.

Tanganyika imeingia kwenye record ya Dunia kuwa nchi pekee iliyoongozwa na secretary form 4 failure ambaye utawala wake ulijikita kwenye kuteka na kuua watu kama njia ya kulazimisha kukubalika.
Kutoijua kwako Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio kosa langu.
 
Hapa agenda ni ipi? Madhabahu kusema yasiyo stahili? Au jina mama samia kutajwa? Ama kukataliwa? Uzuri na ubaya wa hayo yote upo kwa mtafsri...

Yaan maana halisi inabaki Kwa msemaji...wengine wote tunatoa maoni.... upo wakati ni vyema tukakubaliana kutokukubaliana bila kudhuliana.
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA

Siyo kweli. Hayo yapo katika maneno na wala siyo uhalisia.

Ile siku Fr wa TEC anashambuliwa, asubuhi, viongozi wa dini katika umoja wao, kwenye kikao chao cha pamoja, ambacho Kitma alikuwa katibu wao, waliazimia waombe appointment ya kuonana na bibi ili wafikishe ushauri wao. Kumbe kiongozi mmojawapo wa dini ni afisa kipenyo, haraka kabla ya ya maombi kupelekwa akawataarifu watu iklu. Kilichofuatia ni kikao kifupi cha haraka cha Bar shungwa na watu wake, Bar shungwa kutoa maelekezo Kitm ashughulikiwe. Mara moja Fadhl na Kaymbo wakawaanda watu 2 kwenda kumwua Fr Ktma.

Bishop anaweza kuruhusiwa kumwona haraka kama anaenda kumsifia, yaani kama ni chawa.
 
Back
Top Bottom