Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Ruka juu lala chini umekataliwa
Tunapoikemea serikali isiingilie uhuru wa watu wetu kuabudu katika imani zao, na nyinyi watumishi wa Mungu mtusaidie kutokuzitumia madhabahu zenu kufanya siasa. Makanisa na Misikiti sio majukwaa ya kisiasa, mkitaka kuyageuza kuwa majukwaa ya kisiasa mtavunja umoja na utengamano wetu kama Taifa.
 
..mimi sishabikii aina yoyote ya siasa kanisani, kuipongeza au kuikosoa serikali kanisani si mahala sahihi kwa sabbu ya mchanganyiko wa waumini wenye itkadi tofaouti za kisiasa,
siasa haikwepeki katika mahala popote walipo watu. siasa ni watu, na kila penye watu kuna siasa. Waumini kanisani ni wapiga kura.
 
Tunapoikemea serikali isiingilie uhuru wa watu wetu kuabudu katika imani zao, na nyinyi watumishi wa Mungu mtusaidie kutokuzitumia madhabahu zenu kufanya siasa. Makanisa na Misikiti sio majukwaa ya kisiasa, mkitaka kuyageuza kuwa majukwaa ya kisiasa mtavunja umoja na utengamano wetu kama Taifa.

mtu mtumishi wa Mungu akipata mafumuo kuwa mtu flani amekataliwa na Mungu. unataka asiseme?
 
Huyo akapumzike kwao ale pesheni. She is rejected.
 
siasa haikwepeki katika mahala popote walipo watu. siasa ni watu, na kila penye watu kuna siasa. Waumini kanisani ni wapiga kura.
Siyo kila platform ni sehemu ya kuhuiri siasa. Sehemu za kazi na imani (makanisani na miskitini) haiwezekani kiongozi ku dictate kwa anaowaongoza kuwa chama gani kiko sahihi, kwa sababu individuals wana Ideologies tofauti.
Hata hapa JF si sahihi hili jukwaa liwe na policy ya ku support chama fulani cha siasa
 
Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?
amekataliwa atawekwa kwa nguvu ndicho anachomanisha Mwanamapinduzi Askofu
 
mtu mtumishi wa Mungu akipata mafumuo kuwa mtu flani amekataliwa na Mungu. unataka asiseme?
Kila mtu Mungu anaweza ma ufunuo au tafsiri tofauti ya kitu sahihi kikifuata, haiko exclusive kwa mtumishi wa Mungu kanisa
 
Tanganyika yenye watu 60M kuongozwa na raia wa kigeni ni matusi makubwa sana hata Kwa mungu
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Mijizi hii ya mali za umma,hawalipi kodi serekali,mama Samia kawabana,Mijizi mikubwa na mafisadi
 
Back
Top Bottom