Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

Naona Askofu Mwanamapinduzi ameamua liwalo na Liwe

ameamua kusema madhabahuni. wewe ni nani umpangie pa kusema ukweli utokao kwa Mungu.
nampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisa
  • Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu, Mk 12:17
  • Kazi ya kanisa ni kuhubiri habari njema, Luka 4;43
mchungaji/padre kushawishi watu waamini na kufuata mtizamo wake wa kisiasa akiwa kanisani kama sehemu ya mahubiri ya bibilia, hayo ni matumizi mabaya ya madhabahu
 
Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Tokalini kiziwi akasikia na alijiita mwenyewe kiziwi
usirudie kupotosha watu
 
Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo manabii wa kishetani, wakiwemo wahubiri
, wachungaji, mitume, na maaskofu wa hivi vikanisa, wanavyozidi kuibuka na kutuletea tabiri zao za kishetani!.

Miongoni mwa hao waumini, kuna wana CCM, hivyo unapohubiri madhabahuni kuwa Rais Samia amekataliwa na Mungu, lazima useme jinsi ulivyozungumza na Mungu mlizungumza vipi?, kwa sauti, kwa maono, kwa ndoto, etc, na alimpomkaa Samia, alitoa sababu ya kumkataa?.

Iwapo Watanzania katika umoja wetu, October tukamchagua Samia kwa mitano tena, mtu kama huyu ataweka wapi sura yake?. Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

P
Acha uhuni we jamaa angesema Mama kakubaliwa na Mungu?.. Mbona wapo wanaosema kakubaliwa na wao waitwe mashetani? Why double standard ? .....mnataka asifiwe tu?
 
Hv wenzetu waislam mbn kama wapo kimya au n mm tu siwasikiii?!🤔 au wanajionea sawa tu kwa yanayoendelea
Umenifanya nikumbuke kauli hii "Al Muslim Akhu Muslim (Muislam ndugu yake Muislam) mwaka 2005 Msalato girls Domitory Ak, Nilinyimwa maji kwa kauli hiyo 🤣🤣🤣 anyway nilishakusamehe Halimah.
 
nampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisa
  • Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu, Mk 12:17
  • Kazi ya kanisa ni kuhubiri habari njema, Luka 4;43
hapo kwa kaisari ilikuwa ni ishu ya ulipaji Kodi. Wayahudu walimuuliza Bwana Yesu (wakimjaribu) kama ni halali kulipa kodi kwa kaisari ama la. Kusema kwa habari ya kiongozi wa nchi kanisa linahusika kwa sababu kiongozi wa nchi ni kiongozi wa watu wote pamoja na kanisa. Siasa inahusika kila mahala.

kusema huyu amekataliwa hiyo ni habari njema kwa yule aliyekubaliwa na wale watakaotawaliwa na yule aliyekubaliwa yaani aliyekubalika na Mungu. Maana huyo ndiye Aliye katika mpango wa Mungu.

"mwovu akitawala watu huugua"

Mithali 29 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
² Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
 
Tokalini kiziwi akasikia na alijiita mwenyewe kiziwi
usirudie kupotosha watu
hata kama mchungaji yuko sahihi, lakini kanisani si sehemu sahihi ya kuhemuka kisiasa, kanisa ni mchanganyiko wa waumini wenye itikadi tofauti, mchungaji aheshimu itikadi tofauti za kisiasa za waumini wake, kama huwezi kunielewa nachomaanisha wewe ni typical Psychopath & Egocentric
 
20250721_074011.jpg
Kizimkazi hoi!!!
 
hapo kwa kaisari ilikuwa ni ishu ya ulipaji Kodi. Wayahudu walimuuliza Bwana Yesu (wakimjaribu) kama ni halali kulipa kodi kwa kaisari ama la. Kusema kwa habari ya kiongozi wa nchi kanisa linahusika kwa sababu kiongozi wa nchi ni kiongozi wa watu wote pamoja na kanisa. Siasa inahusika kila mahala.

kusema huyu amekataliwa hiyo ni habari njema kwa yule aliyekubaliwa na wale watakaotawaliwa na yule aliyekubaliwa yaani aliyekubalika na Mungu. Maana huyo ndiye Aliye katika mpango wa Mungu.

"mwovu akitawala watu huugua"

Mithali 29 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
² Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
maana ya mpe kaisari yaliyo ya kaisari, ina maana pana zana na imefafanuliwa kwa undani zaidi kama unaweza isoma biblia, kila verse inaku-direct kwenye verse nyingine kwa uchambuzi zaidi

maana yake kwa mapana ni;
The phrase "give to Caesar what is Caesar's and to God what is God's" means that individuals should fulfill their obligations to both the secular government and to their faith. It implies a separation of church and state, recognizing the legitimacy of both earthly authority and divine authority.
 
hata kama mchungaji yuko sahihi, lakini kanisani si sehemu sahihi ya kuhemuka kisiasa, kanisa ni mchanganyiko wa waumini wenye itikadi tofauti, mchungaji aheshimu itikadi tofauti za kisiasa za waumini wake, kama huwezi kunielewa nachomaanisha wewe ni typical Psychopath & Egocentric
endapo msimamizi wa itikadi zote usemazo na comforter wa nchi ni kiziwi

Nani alaumiwe
 
Back
Top Bottom