The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Waswahili wanasema hivi;
"...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..."
Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni;
Vita kati ya HAKI na UOVU...
Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI...
Watumishi wa Mungu waheshimiwa;
1. Askofu Mwamakula..
2. Askofu Bagonza...
3. Askofu Mwamalanga..
4. Askofu Mwanamapinduzi..
It's obvious kuwa nyie ndio mlio kwenye "target" sasa kwa kuwa mnaihubiri HAKI bila woga na bila aibu...
MSIOGOPE ila chukueni Tahadhari...
Kumbukeni Mungu Yehova mnayemtumikia ni MUNGU WA HAKI na hivyo yeye ndiye HAKI yenyewe...
Rais Samia Suluhu Hassan na CCM yake wamedhamiria kubaki madarakani hata kama ni kwa gharama yoyote hile. Wako tayari hata kama ni kumsulubisha Yesu Kristo tena kwa mara ya pili..!
Rais Samia Suluhu Hassan hataki kusikia Neno HAKI au REFORMS za mifumo ya uchaguzi toka kwa yeyote...
Najua Mungu Yehova, muumba wa mbingu na nchi Yuko pamoja nanyi kwa njia ya Roho wake Mtakatifu. Narudia tena kusema kwamba, Mungu anasema - MSIOGOPE. Hubirini haki. Tendeni yaliyo HAKI...
Tafadhali, kuweni makini kumsikiliza na kuzingatia maelekezo ya Roho Mtakatifu wakati wowote na popote muwapo ili msije mkaumizwa. Najua hawawezi kuwaua, ila wanaweza kuwaumiza...
Wote tunajua kuwa UOVU haujawahi kuwa juu ya HAKI...
Na wote tunajua na kutambua, SHETANI hutisha tu, hutia hofu tu lakini ALISHASHINDWA pale Golgotha - Msalabani pale Yesu Kristo aliposema "IMEKWISHA..!!"
TUTASHINDA na tena zaidi ya KUSHINDA. Ameen🙏🙏🙏🙏🙏