Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema;
"Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye wakati huu, kulijenga Taifa lenye Umoja, mshikamano, Upendo, Amani, utulivu.. bado! Lakini siyo Urais pamoja na kwamba anavigezo vyote vya Kikatiba kwa maana ya Umri, kuwa Mbunge, kuteuliwa na Chama chake lakini bado!."
"Taifa hili linahitaji kiongozi wa tofauti mwenye courage ya kupmbana kujenga uchumi wa ndani na kuacha kukopa."
"Naangalia CHAUMMA, namuona Salum Mwalimu... bado, tena bado mbali kabisa nadhani hata Ubunge amekosa kosa mara nyingi sana, amewahi kugombea Kinondoni kule kwao Zanzibar alikosa, ni mtu ambaye hata kwenye nafasi ya Ubunge anahitaji kuwa nguvu ya ziada ku-qualify kuwa msemaji wa Jimbo na mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo sio nchi, tusilete utani kwenye mambo ambayo yatatuumiza ndani ya Miaka Mitano ijayo."