Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 819
- 1,093
Askofu Maximiliani Machumu (Mwanamapinduzi) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima anasema kwamba kapata taarifa, kuna watu wametumwa kuja kumpiga risasi akiwa kanisani akipanda gari.
Amesema yeye haogopi kwenda Kusali kwani analindwa na Zaburi ya 91:10 "Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako
Amesema yeye haogopi kwenda Kusali kwani analindwa na Zaburi ya 91:10 "Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako