Wazee wa kijiji cha katerero kwenye amaizi, ashapiga mbandule yake anasheahemela amaiziAskofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.
Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.
Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.
View attachment 3448830
Kwisha habari yenu, utasikia ccm inapendwa ,ccm itashinda kwa asilimia kubwa sana ,kumbe mnategemea mifumo from Nida to ccm and from ccm to NecWazee wa kijiji cha katerero kwenye amaizi, ashapiga mbandule yake anasheahemela amaizi
Anaelewa. Ila wenyewe wanasema "Kazi maalum".Wewe mwe.hu huwezi elewa kitu P. Wahed
Kunguni na chawa🤣
Tlaatlaah akili zilishatolewa kichwani na CCM.
CCM ni matapeli tupuKwisha habari yenu, utasikia ccm inapendwa ,ccm itashinda kwa asilimia kubwa sana ,kumbe mnategemea mifumo from Nida to ccm and from ccm to Nec
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.
Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.
Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.
View attachment 3448830
Kabisa Amani ya upande mmoja bila Haki ni kujilisha upepo na ni ubatili mtupu!Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.
Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.
Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.
View attachment 3448830
Mkulima Lukas Mwashambwa na chiembe mkuje!
Sahihi
Ni kweli Kabisa; angalia hapaAskofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.