Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Kwani hata kabla ya CCm, Tlaatlah alikuwa na akili?Tlaatlaah akili zilishatolewa kichwani na CCM.

Shauri yake, tumeshawagundua hawa wanafiki. Hawakusema chochote wakati wa JPM wakati mifumo ya kiutawala ilivurugwa waaaazi kabisa. Mungu yupo na atamlinda Raisi wetu, Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.
Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.
Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.
View attachment 3448830
It's a very lovely "speech" unto the sacred alter.Amen!🫸🫷Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.