Askofu Mwijage: "Amani Haiwezi Kuwepo Kama Kuna Janja Janja Na Usiri".

Shauri yake, tumeshawagundua hawa wanafiki. Hawakusema chochote wakati wa JPM wakati mifumo ya kiutawala ilivurugwa waaaazi kabisa. Mungu yupo na atamlinda Raisi wetu, Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
 
Samia kama anapenda amani basi ajiuzulu na awaachie wengine wenye uwezo wa kuongoza vyema Nchi yetu na siyo kuwaumiza watanzania.Ikifikia hatua Hadi Askofu anakemea utawala wake basi ujue Hali ni mbaya na tunakoelekea Nchi itanuka muda wowote kuanzia Sasa.
 
It's a very lovely "speech" unto the sacred alter.Amen!🫸🫷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…