Askofu Mwingira: Tundu Lissu ni muujiza wa Mungu

Askofu Mwingira: Tundu Lissu ni muujiza wa Mungu

Huyu Tapeli nae ni Askofu?
Duuh, huu ndio uhuru wa mawazo na kutoa maoni siyo..?

Mbona Askofu anaongea vitu halisi, sensible and justifiable..?

Mtu wa Mungu wa namna hii anawezaje kuwa tapeli...?

By the way, hii umeambiwa, umesikia au umethibitisha utapeli wake wewe mwenyewe...?

Be carefully ndugu because you may fall into a very harsh judgement of the Almighty God for just a silly mistake of a slip of a tongue...
 
Nyie wapumbavu mnawajua watumishi wa Mungu nyie?
 
Waumini watafute kanisa lingine
Binafsi siwezi sali kanisa lolote linalohubiri habari za watu wawe Tundu Lisu au yeyote
Nitarnda Kanisa linalohubiri habari za Yesu tu

Hapo hamna mhubiri
Uko sahihi, wamhubiri Yesu tu.
 
Waumini watafute kanisa lingine
Binafsi siwezi sali kanisa lolote linalohubiri habari za watu wawe Tundu Lisu au yeyote
Nitarnda Kanisa linalohubiri habari za Yesu tu

Hapo hamna mhubiri
Check hutu Hater asiye na aibu. Ukuu wa Yesu unajithihirisha wapi kama sio miongoni mwa watu? Unawezaje kumhubiri Yesu bila kusema kazi anazozitenda? Hater
 
Nyie wapumbavu mnawajua watumishi wa Mungu nyie?
Kwanza: Neno "mpumbavu" au "pumbavu" likurudie wewe na familia yako maana mimi, familia yangu, dugu zangu na rafiki zangu wote sio mpumbavu...!!!!

BACK TO THE TOPIC:

➡Jibu la swali lako ni "NDIYO" , ninawajua...

➡Mimi mwenyewe ni mtumishi wa Mungu Yehova aliye hai...

➡Wewe ni mtumishi wa Mungu gani bwana? Shetani...?

NOTE:
Baada ya hayo, sasa jibu swali langu la:

Huo utapeli wa Askofu Mwingira ni upi? Umeambiwa, umesikia, unahisi au miungu yako imekutuma kuja kufyatuka tu bila hata kuwa na uhakika ya kile unachoandika...?

Kuwa na akili na ufahamu kijana. Otherwise, unaweza kujikuta umejiweka mwenyewe kwenye engo mbaya ya mateso maisha yako yote...
 
Back
Top Bottom