Mjinga wewe hospital huwa unafata nini?Mungu kaagiza kuwa msiache kukusanyika huyo Askofu Nani amuige yeye anasema marufuku kukusanyika kwenye ibada!!! Mungu ni mkubwa kuliko huyo Askofu mpiga marufuku watu kukusanyika Ibadan. hakuna cha kuiga kwa huyo askofu mpagani
Msalimie gwajima wenuBiblia inatamka wazi wawili watatu wakikusanyika kwa jina langu Mimi Niko katikati yao .Haisemi corona iko katikati yao
Mkusanyiko Wa Mungu ni Mungu anakuwa katikati ya kusanyiko sio corona. huyo askofu ni mpagani mkubwa
Sijawahi ugua mjinga wewe ambaye kutwa kiguu na njia hospital Hadi madaktari wanakuchokaMjinga wewe hospital huwa unafata nini?
Hapa ndipo tatizo kubwa lililopo kanisa katoliki.Sheria za Kanisa hazotakiei kuwa juu ya sheria ya Mungu ambayo in Biblia.Biblia imeagiza watu wasiache kukusanyika kuabudu.Papa na Hugo askofu wanaagiza waumini wasikusanyike kuabudu Vatican na Jimbo la Rulenge Wapagani hao
Wamevunja sheria ya Mungu
Mpagani huwa anaombewa?
Hivo unavyoandika thread za kuhusu uislamu kumbe huujui uislamu?
Hapa ndipo tatizo kubwa lililopo kanisa katoliki.Sheria za Kanisa hazotakiei kuwa juu ya sheria ya Mungu ambayo in Biblia.Biblia imeagiza watu wasiache kukusanyika kuabudu.Papa na Hugo askofu wanaagiza waumini wasikusanyike kuabudu Vatican na Jimbo la Rulenge Wapagani hao
Wamevunja sheria ya Mungu
hujui....Saudi Arabia case 10,484 - death 103.Ni jambo jema maana hata Saudia mwezi wa Ramadan Ibada ni majumbani!
Karibu mgeni!hujui....Saudi Arabia case 10,484 - death 103.
Kusali na kuabudu Ni vitu viwili tofauti Sala waweza sali popote kuabudu lazima altare au madhabahu iwepo na inapatikana kanisani sio popoteNi nani alikwambia ili sala yako ikubaliwe ni lazima ukusanyike na wenzio
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda mapoyoyo kama wewe mwenye akili timamu atazingatia maelekezo ya kanisa.Nawashauri Katoliki waliofungiwa wasiabudu makabisani huko Rulenge waende kusali makanisa yeyote watakayopenda ambayo hayajafungwa na wasirudi Tena Katoliki
Na kule kwa papa vipi?Nawashauri Katoliki waliofungiwa wasiabudu makabisani huko Rulenge waende kusali makanisa yeyote watakayopenda ambayo hayajafungwa na wasirudi Tena Katoliki
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari
Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na sala za Jumuiya kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Aprili 19, 2020
Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo hilo amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari alama za nyakati na kujifunza kutoka kwa watu wa Ulaya, Marekani na nchi za jirani na hatua ambazo Baba Mtakatifu alizichukua kwa kutoa maelekezo kwa Maaskofu Wakatoliki Duniani na namna ya kuadhimisha Ibada
Amesema pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kutotoa amri ya kufunga Makanisa na Misikiti, akihimiza kufanya ibada kumuomba Mungu atunusuru na janga hili, kama Mchungaji wa Jimbo la Rulenge-Ngara ameamua kuchukua uamuzi huo
Aidha, Askofu Niwemugizi amesema pale itakapowezekana wataomba redio Kwizera irushe adhimisho la Misa fupi na Waamini wafuatilie redioni. Baada ya mwezi kuisha Kanisa litaangalia hali ilivyo ili kama iliongeze muda
Pia, amewataka mapadre kuadhimisha misa peke yao kwa niaba ya waumini kuwaombea na kuiombea dunia ili Mungu atunusuru na #COVID19 hili na kuagiza sala za Jumuiya kufanyika ndani ya familia kwa familia moja moja
View attachment 1422602
Moja ya maamuzi mabaya sana na yatamuandama maisha yake yote chini ya jua. Muda utaongea. Namuonea sana huruma, duuhMaamuzi magumu na sahihi
Wapumbavu ndo watafanya hayo, wakatoliki si mabwege ki hivyoNawashauri Katoliki waliofungiwa wasiabudu makabisani huko Rulenge waende kusali makanisa yeyote watakayopenda ambayo hayajafungwa na wasirudi Tena Katoliki
Anayedhani amesimama, aangalie asianguke. Historia inaonyesha mambo mengine sio rahisi kama tunavyoongeaWapumbavu ndo watafanya hayo, wakatoliki si mabwege ki hivyo
Wapumbavu ndo watafanya hayo, wakatoliki si mabwege ki hivyo