DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza Mhashamu Renatus Nkwande amesema baadhi ya raia waliouawa katika maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata hawakuwa na silaha yoyote badala yake, waandamanaji hao walikuwa tu wakipaza sauti zao.
Askofu Nkwande ameyasema hayo wakati wa Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu waliotangulia mbele ya haki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata kufuatia vurugu zilizotokana na baadhi ya watu waliokuwa wakiandamana na wengine ambao wanadaiwa kuuawa wakiwa majumbani na katika shughuli za kijamii na kibiashara.