The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka.
Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu iliyoadhimishwa na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap katika Viwanja vya Shule ya Marian ikiwa ni kusimikwa kwa askofu Stephano Musomba - jimbo katoliki Bagamoyo.
Pia soma

- News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
- Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa